Ndugu kanisani kwenu mnafanya siasa hakika kanisa lenu ni kanisa la shetani kabisa basi wambie viongozi wako jumapili ijayo waje kuwagawia kadi kabisa za chama chenu cha siasa.UKAWA walipo toka bungeni mwezi April ulituambia wanahongwa na Ugeruman,tukanyamaza kimya kwasababu tuliwaelewa vyema akina mbowe na wenzie,baadae Said Kubenea alipo fungua shauri mahakamani kutaka tafsiri ya kisheria ukatuambia tena kuwa Kubenea amehongwa na UKAWA pia tulinyamaza kwa sababu tunamuelewa sana Kubenea ,Mh .leo tumesomewa waraka makanisani kwetu juu ya bunge lako ,ninachokisubiri ni kujua kama viongozi wa dini yetu nao wamehongwa!!!!!!!!!!
Kesho bandikeni bendera za vyama vyenu kanisani tujue kabisa kuwa sasa mnafanya siasa kanisani kwenu msitumie mwamvuli wa kanisa wahuni kabisa nyie.sitta amejimaliza kisiasa mwenyewe asitafute mchawi
kumbe ni wewe......sishangaiKesho bandikeni bendera za vyama vyenu kanisani tujue kabisa kuwa sasa mnafanya siasa kanisani kwenu msitumie mwamvuli wa kanisa wahuni kabisa nyie.
UKAWA walipo toka bungeni mwezi April ulituambia wanahongwa na Ugeruman,tukanyamaza kimya kwasababu tuliwaelewa vyema akina mbowe na wenzie,baadae Said Kubenea alipo fungua shauri mahakamani kutaka tafsiri ya kisheria ukatuambia tena kuwa Kubenea amehongwa na UKAWA pia tulinyamaza kwa sababu tunamuelewa sana Kubenea ,Mh .leo tumesomewa waraka makanisani kwetu juu ya bunge lako ,ninachokisubiri ni kujua kama viongozi wa dini yetu nao wamehongwa!!!!!!!!!!

Kesho bandikeni bendera za vyama vyenu kanisani tujue kabisa kuwa sasa mnafanya siasa kanisani kwenu msitumie mwamvuli wa kanisa wahuni kabisa nyie.
Mkuu huyu bwana ni chizi freshi , hukumsikia jana alivyokuwa anawayawaya !!?mkuu hivi una akili au una ubongo??
Kesho bandikeni bendera za vyama vyenu kanisani tujue kabisa kuwa sasa mnafanya siasa kanisani kwenu msitumie mwamvuli wa kanisa wahuni kabisa nyie.
Ndo mwisho wa ccm huu. tutakuwa huru very soon
Mkuu huyu bwana ni chizi freshi , hukumsikia jana alivyokuwa anawayawaya !!?
Kesho bandikeni bendera za vyama vyenu kanisani tujue kabisa kuwa sasa mnafanya siasa kanisani kwenu msitumie mwamvuli wa kanisa wahuni kabisa nyie.