Ninajiunga na CHADEMA


Wewe duchi, CCM mlisema mna propaganda nyingi ambazo bado hamjazitumia. Huenda haya mabomu ni moja kati ya hizo propaganda za CCM. Lengo la kutupa mabomu ni kuwatisha watanzania. Tumeshazijua mbinu zenu. Endeleeni kutumia hizo propaganda na kuua watanzania wasio na hatia. Ila mkumbuke 2015 ndio mwisho wenu
 
Na mimi ninaomba kadi mara moja ikiwa Mh. Mnyika uko humu nielekeze namna ya kuipata hiyo kadi ya uanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…