Ninajiunga na CHADEMA

karibu wewe binafsi kama umeguswa na umeona ukweli. tafadhali tunaomba usiwalazimishe wengine kuja, hatuhitaji virusi, tunataka watu wenye dira na wakweli.
 
Very funny!

Hii michezo mtaalamu wake alikuwa Kingunge Ngombale Mwiru.
 
Mbona kadi yako inaonesha ulijiunga kitambo sana? au ulikuwa dormant member?
 
Wewe unakaribishwa sana lakini Nasikitika sana kusema kwamba , NAPE NNAUYE HAPANA , kwa aliyoifanyia CDM hatakiwi kabisa kuja huku .
 
Ccm gonjwa baya na hatari linaloua kulkko hata malaria.........tulitibu kwa kuhamia cdm
 
karibu wewe binafsi kama umeguswa na umeona ukweli. tafadhali tunaomba usiwalazimishe wengine kuja, hatuhitaji virusi, tunataka watu wenye dira na wakweli.

Kakulazimisha kwani kakushikia bastola km vijana washamba wa ccm km rage au ditopile
 
NAPE KATIMIZA NDOTO YAKE YA KUMKOGA LOWASSA ,
KARIDHIKA NA CHEO CHA UKATIBU MWENEZI UPEO WAKE UMESHIA HAPO,
ANAONGEA UTAZANIA ANAMIKA 80, Asiye na matumaini ya kuishi na kuongoza NCHI, AFRICA katika nanja nyingine
NASHANGAA KIJANA MBICHI KUWA NA NDOTO FUPI NA KUJILIMITI KUTETEA CHAMA DHIDI YA MAMILIONI YA VIJANA WATANZANIA,
 
Umenyimwa cheo ccm ndo unadhani utakipata chadema? Njaa tu ndio unayoendekeza wenzako tupo ccm kiuzalendo na sio kiushabiki na kauli ya mtu mmoja haiwezi nifanya nihame chama.
 
Hizo ni propaganda weka Wazi eneo unaloishi mjumbe wako jina lako kadi yako acha propaganda za ki cdm
 
Usiende CHADEMA ili kukwepa lawama za UCCM, nenda CHADEMA kama unataka HAKI.
 
Bila shaka watakuwa wanaona lakini si unajua kilichotokea 2005 wakati wa uchaguzi? Kwa hiyo kila mmoja na-tuone sasa!
 
Tatizo ni kwamba, waliapa kufa na damu yao ikiwa bado kijani milele. Poleni wazee wetu ila dhamira twajua zinawasuta. Mwambieni mliempa nyundo sasa anabomoa si kuvunja.
Itakuwa ngumu kujenga
 
Karibu kamanda
 
Nawashukuru wote walionikaribisha kwa amani. Nami nawaahidi nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwaelimisha vijana niliowaacha kwenye giza,unyanganyi,rushwa,uongozi mbovu<ccm> wajiunge na CHADEMA KWA MWANACHADEMA YOYOTE ANAYETAKA KUNISHAURI AU KUNIELIMISHA KUHUSU TARATIBU ZA CHAMA NI2MIE SMS KWENYE NAMBA HII 0768882810 ASANTEN PAMOJA TWAWEZA PIPOS POWER MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CHADEMA NA MWISHO KABIZA NAWAPA POLE WANANCHI WOTE WA ARUSHA KWA MATATIZO YALIYOWAKUMBA NIWAAMBIE 2PO PAMOJA KTK KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MAJONZI
 
Naona hawa wazee wameamua kususa si unajua tena Mwenyekiti alisema kuwa ni wakati wa vijana. Masikini CCM kiko mikononi mwa Nape, Mwigulu, Shonza na Mtela, Babu Kikwete yeye anakula nchi, Babu Magula yeye amepewa kimwana hivyo yuko busy na my wife wake na Babu Kinana yeye yuko busy na Tembo.. Uwanja ni wa vijana... Huwezi kuamini kuwa hii ni CCM ile ile ya Hayati Nyerere!!
 
Nawashukuru wote walionikaribisha kwa amani. Nami nawaahidi nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwaelimisha vijana niliowaacha kwenye giza,unyanganyi,rushwa,uongozi mbovu<ccm> wajiunge na CHADEMA KWA MWANACHADEMA YOYOTE ANAYETAKA KUNISHAURI AU KUNIELIMISHA KUHUSU TARATIBU ZA CHAMA NI2MIE SMS KWENYE NAMBA HII 0768882810 ASANTEN PAMOJA TWAWEZA PIPOS POWER MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CHADEMA NA MWISHO KABIZA NAWAPA POLE WANANCHI WOTE WA ARUSHA KWA MATATIZO YALIYOWAKUMBA NIWAAMBIE 2PO PAMOJA KTK KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MAJONZI
 
siwezi kujiona hata siku moja nikiwa chadema, huko hakuna muelekeo wowote, ni bora liende halafu sijui hata wanaelekea wapi?? only their leaders know
 
Ni maamuzi ya busara kujiunga na wapambanaji, karibu sana!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…