Ninaitafuta bajaji ya mkataba

Kuna wale jamaa/kampuni wanaokopesha bajaj za umeme unatoa 700,000 kama kianzio halafu marejesho ni 140,000 kwa wiki au 20,000 kwa siku
 
Ikawe heri kwako mpambanaji... Umeiona fursa hivyo unatafuta njia👊👊👊
 
Hauko serious na tangazo lako.

Ukitoa tangazo la kibiashara hakikisha unaweka bayana taarifa za msingi zote bila kuhitaji watu wakufuate chumbani huko
Kama una bajaji ni-pm.

Ninaijua JF vizuri. Sijakosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…