baada ya katiba ya zanzibar kutambulika rasmi katka katiba ya tanzania kwa kuitambua kua zanzbar ni nchi. Waunguja weng wanafurahia hilo na wengne hawautak muungno lakn naiona jamuhur ya watu wa pemba inakuja kwan waunguja huwakebeh wapemba ati cku ya mapnduz walkua wamelala,
Baada Ya Katiba Ya Zanzibar Kutambulika Rasmi Katka Katiba Ya Tanzania Kwa Kuitambua Kua Zanzbar Ni Nchi. Waunguja Weng Wanafurahia Hilo Na Wengne Hawautak Muungno Lakn Naiona Jamuhur Ya Watu Wa Pemba Inakuja Kwan Waunguja Huwakebeh Wapemba Ati Cku Ya Mapnduz Walkua Wamelala,

Kama ni maandishi ya Mungu basi hapanashaka, ila kama ni maandishi ya maluuni Nyerere basi yamepotea njia, maana Zanzibar ilikuwepo kabla ya Muungano na itaendelea kuwepo tena nje ya Muungano, na huyo baba yenu alosema upuuzi huo, ameondoka yeye lakini Zanzibar ameiacha pale pale...na huo ndio utukufu wa Zanzibarili yale maandiko yapate kutimia? Kwamba nje ya muungano kuna uzanzibari na uzanzibara? Kwani muungano si utaendelea kuwepo?
Aliiacha Zanzibar ipi? ile ya Jemshid au ile iliyekombolewa na John Okello wakati mkiwa mmelala usingizi fofofo?
Kama ni maandishi ya Mungu basi hapanashaka, ila kama ni maandishi ya maluuni Nyerere basi yamepotea njia, maana Zanzibar ilikuwepo kabla ya Muungano na itaendelea kuwepo tena nje ya Muungano, na huyo baba yenu alosema upuuzi huo, ameondoka yeye lakini Zanzibar ameiacha pale pale...na huo ndio utukufu wa Zanzibar

Wewe unaijua Zanzibar au umeikuta Zanzibar na utaiacha? Wacha ushabiki wa ki pu mbavu wewe. Wanaoijua Zanzibar na kuitetea ni wale wenye kujali maslahi yao wewe utapiga kelele hapo na Zanzibar huru lkn hamna kitu unachopata.
Kuwa wide zaidi mtafute maisha bora kwa kuweka misingi imara ya kumjali mzanzibari not blahblah
Dua la mwewe halimpati kuku...
Wala tanganyika msiombe muungano kuvunjika bora mnganganie huo wa serikali 3. Kinyume chake naona nchi pande 2.. Wakristo na waislamu
Wapemba waliomo humu serikalini ndio wanaondosha ombwe la udini.
Waswahili husema mtu hamcheki mkwewe
MOD Ondoa Uzi huu, ni uzi wa uchochezi wa kidini na kikabila, Tuangalie yanayoendelea CENTRAL AFRICAN REPUBLIC hivi leo, hivyo kweli jamaani tunataka hayo ndani ya hapa kwetu. Please dont encourage these types of postings remove them
Halafu nini baada ya Jamhuri ya watu wa Pemba? Kawaulize wa Sudan ya kusini kinachowatokea.Baada Ya Katiba Ya Zanzibar Kutambulika Rasmi Katka Katiba Ya Tanzania Kwa Kuitambua Kua Zanzbar Ni Nchi. Waunguja Weng Wanafurahia Hilo Na Wengne Hawautak Muungno Lakn Naiona Jamuhur Ya Watu Wa Pemba Inakuja Kwan Waunguja Huwakebeh Wapemba Ati Cku Ya Mapnduz Walkua Wamelala,
Nilimaansha, Kwan Uchaguz Wa Timu Ya Vjana Zanzbar Ilileta Utata Wapemba Walilaum Kuwa Kwann Wachezaj Wng Watoke Uguja?? Na Hata Kuanzisha Tmu Inaitwa Jamuhur Ya Pemba Inamaana Kubwa Tafakarn Sana Mcmwage Povu Tu