Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,980 Reaction score 3,115 Apr 11, 2015 #21 Babati Yetu said: Makanisa mengi ya kiroho ukimpenda binti unaenda kwa mchungaji umuulize kama ana mtu tayari, sasa huoni mchungaji anaweza chezesha karata vibaya, kumbuka huruhusiwa kumwambia binti kama unampenda mpaka go ahead ya mchungaji. Click to expand... Wana mambo ya ajabu sana, utasikia mungu kamfunulia
Babati Yetu said: Makanisa mengi ya kiroho ukimpenda binti unaenda kwa mchungaji umuulize kama ana mtu tayari, sasa huoni mchungaji anaweza chezesha karata vibaya, kumbuka huruhusiwa kumwambia binti kama unampenda mpaka go ahead ya mchungaji. Click to expand... Wana mambo ya ajabu sana, utasikia mungu kamfunulia
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,378 Apr 13, 2015 #22 Heshimun uzi wa mtu sio mjadala tena.