Ninahitaji mpenzi wa kike

Nenda kambi ya fisi kama uko dar au pale kwa macheni mkuu.trust me utapata mke


swissme
 
Hahahha najuuuuta kujiunga huku mbavu zangu mieeee
 

Sawa namba umeweka vp picha
 
Aisee!!!!!!!!!! kwani mkristo safi anachaguliwa mke na mchungaji???????????

Makanisa mengi ya kiroho ukimpenda binti unaenda kwa mchungaji umuulize kama ana mtu tayari, sasa huoni mchungaji anaweza chezesha karata vibaya, kumbuka huruhusiwa kumwambia binti kama unampenda mpaka go ahead ya mchungaji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…