S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,828 Reaction score 1,318 Dec 18, 2012 #1 Wadau Heshima Mbele..... Nina shida ya Line ya TIgo Pesa, nimeenda ofisini kwao wanadai hawatoi tena, najua kuna watu wenye nazo na hawafanyii kazi, naomba tuwasiliana kama unaweza kunisaidia, Asante
Wadau Heshima Mbele..... Nina shida ya Line ya TIgo Pesa, nimeenda ofisini kwao wanadai hawatoi tena, najua kuna watu wenye nazo na hawafanyii kazi, naomba tuwasiliana kama unaweza kunisaidia, Asante