Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #41
Ruhazwe jr pole sn ila najua wenye kukufitini wapo humu humu
Pia Madame B ni kwa ajili ya heat and run nilishangaa unaoa lol
Nawewe ulichemsha kweli
Unaweza toa neno kumbe wanataka kufunga ndoa ya maandazi kimya kimya baadae upate aibu,michango yetu ndiyo watafanyia mradi wao
Mbona mapema kiivyo?
It means a big fault occured ? Kulikoni ?
co mamamkwe aliyeenda TA, Madame B ndo ameenda huko kupumzika kwa mda, ila kasema akirudi ataniambia ukweli, mana kila nikipiga cm anasema subiri nirudi, ila ndoa itafungwa na wala c ya kimyakimya, Ruhazwe JR, Madame B bado anakupenda, ucwe na hofu
no!,no!,no!.....hata ashuke mungu aseme tusamehane sipo tayar piga ua galagaza....
Mamndenyi uko wapi mama yangu?maji yamezidi unga,yule binti niliyekuja kumtambulisha kwako kuwa ndio mtalajiwa wangu ameota mapembe,mwanao nalia mama sitaki harus tena.
Ruhazwe JR
kwani mchumba akikukataa na mimi mama yako unaninunia
wapo wengi hapa jf utapata mwingine ondoa hofu.