Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 491
Habari wandungu,ninatafuta kiwanja cha BARABARANI 20*20 maeneo ya goba madala kwa kawawa au kulangwa njia kuu unaingilia kilipo kiwanda cha cement wazo ukifuata ihi barabara utakutana na barabara inayotokea tank bovu kwenda mbezi ukinyoosha utatokea kimara temboni.bei < 10m. 0713308844
unataka kiwanja cha barabaran magufuli akibomoa kibanda chako utamlaumu?
ilimradi uwe unakimiliki kialali serikali ya mtaa wawe wanakutambua kama tutaafikiana na nitaridhika na eneo usika..lakini lazima kiwe akipo ndani ya TANROAD si unajua iyo barabara ina jiwe....nivutie wire nimeweka namba hapoNinancho Kaka Vipi Tufanye Biashara, Ila cna hati miliki
Umekiona nini!? yaani unatafuta kiwanja, unaweka location na bei kabisa..!? we mkali nimekukubali.
Mimi kuna mpwa wa babu yangu mzaa baba yangu mkubwa pale, anacho lakini kipo kando ya barabara. Anza kuongea na magufuli akuuzie hicho cha barabarani, ukikosa kilichopo barabarani basi njoo kwetu kando kando ya barabara.