Kama unafahamiana na mtu yeyote ambae yupo Moshi, muombe aende pale jirani na bank ya crdb mjini kabisa(jirani na ofisi za kilimanjaro bus). Wanauza kahawa pale yenye good quality. Sasa sijajua unataka ya namna gani, maana zipo ambazo zipo labeled kabisa, zipo zilizosagwa na zipo za punje na zote nadhani bei zinatofautiana