Ninafuga nyoka jamani mnasemaje?



Nyoka huyu ni wa aina gani?
Huyo ni kinda la Cobra akikua na akianza kukomaa anabadilika rangi ananza na rangi ya zambarau na akikomaa kabisa anakuwa mweusi anakua anahasira sana akiona kitu mbele yake anaweza kukushambulia kwa kukutemea mate au kama upo karibu anakukong'oli ni hatari sana sumu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…