mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,876
Kabla hata sijamaliza kusoma nikawaza kwa Nini usiseme aache mpango, utaratobu au mwongozo. Niliposoma hitimisho nikaona umelenga penyewe yaani katiba Safi ambayo itawaongoza wanaofuata baada ya muda wake kikatiba.
Sipendi kabisa kusikia hi habari ya kumuongezea mtu muda. Kinachotakiwa ni kuweka missing. Watu hawaishi milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi kabisa kusikia hi habari ya kumuongezea mtu muda. Kinachotakiwa ni kuweka missing. Watu hawaishi milele
Sent using Jamii Forums mobile app