ninachora ramani za nyumba na kusimamia ujenzi

ninachora ramani za nyumba na kusimamia ujenzi

david08606

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
47
Reaction score
4
kwa anayeitaji ramani ya nyumba katika usanifu wowote ani pm kwa david08606@Gmail.com au 0659497070 mi napatikana dsm.kwa uhakika zaid ya ninachokifanya angalia kwenye Iyo attachment
 

Attachments

  • 2013-07-18 19.33.50.jpg
    2013-07-18 19.33.50.jpg
    246.9 KB · Views: 175
kaka komaza buti usikate tamaa... utafika tu

Maisha ya sasa ni kujisimamia tu, ila pia kama unaweza, jiweke karibu na waliokwishafanikiwa japo wakumegee kazi na mbinu zaidi

naheshimu sana wanaokula kwa jasho lao

Big up once again
 
Kama nyumba ndo hizo, tafuta blog za mafiadi uwaambie

tafadhali sana... alichoonyesha ni sample tu, tuache kuvunjana moyo kijinga... if youa re not interested muache wapo watakaofanya nae kazi
 
Kwa hiyo unakampuni ya ujenzi unapo sema unasimamia ujenzi pia.
 
Da hongera nina bro wangu ntamwambia alafu ntakuchk ye anapiga job znz issue kama zako tena kubwa imean mkong we tangu 70s huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom