AAaa watanzania ni wa ajabu kwelikweli aliye tuloga kafa, kuna watu wamejitoa ufahamu wanatoa sifa zote za mbinguni mpaka duniani.Kama hali ikiendelea hivi hivi, kuna uwezekano CCM wenyewe wakabadilisha mgombea wa Urais,tunaweza kubishana sana humu na kutupiana maneno makali sana lakini kwa ninavyoona hivi sasa ni kwamba watu wamechoka!waliochoka ni wananchi wa hali zote, sio maskini hata watumishi wa umma, wanafunzi wa Elimu ya juu ndio kabisa.
Sababu pekee ibayombaba rahisi Magufuli ni Utoaji wa Elimu bure ambalo nalo limelalamikiwa kwa pesa kufika kiduchu mashuleni kiasi cha shule kushindwa kujiendesha, Sababu nyingine inayoibeba serikali kwa sasa ni ununuzi wa ndege mbili ambazo mpaka sasa wananchi wanahoji unaufaikaji waokwa moja kwa moja na ndege hizo hasa maskini ikiwa hali ya maisha ni ngumu.
Kuna suala la watumishi hewa, hili ni jambo ambalo linadaiwa pamoja na kifanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini wataalam wa mambo wanadai kua pamoja na uhakiki huo kufanyika lakini bado matumizi ya pesa seriksli yanazidi kuongezeka tofauti na awali kabla ya uhakiki kuanza.
Kwahiyo Wanaccm wenyewe hawaridhishwi na hali ispokua wamekua ni waoga kulisemea kwa kuogopa kutumbuliwa, hii inaweza kuwafanya kufikia 2020 wakiwa na hasira ambazo wanaweza kuzimalizia kwenye sanduku la kura.
Watu hawawezi kuishi kwenye maisha magumu halafu warudi kumchagua tena Yule yule aliyewaumiza kwa muda mrefu, kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa Rais aliyepo akaongoza kwa miaka 5 tu tofauti na inavyotarajia hivi sasa.
Ata mimi ninachokiona 2020 Magufuli kuibuka na ushindi wa 80% maana watanzania wengi wanamuelewa wana uhakika kesho yao ni nzuri zaidi kuliko wangemkabidhi nchi FISADI KUU.Kama hali ikiendelea hivi hivi, kuna uwezekano CCM wenyewe wakabadilisha mgombea wa Urais,tunaweza kubishana sana humu na kutupiana maneno makali sana lakini kwa ninavyoona hivi sasa ni kwamba watu wamechoka!waliochoka ni wananchi wa hali zote, sio maskini hata watumishi wa umma, wanafunzi wa Elimu ya juu ndio kabisa.
Sababu pekee ibayombaba rahisi Magufuli ni Utoaji wa Elimu bure ambalo nalo limelalamikiwa kwa pesa kufika kiduchu mashuleni kiasi cha shule kushindwa kujiendesha, Sababu nyingine inayoibeba serikali kwa sasa ni ununuzi wa ndege mbili ambazo mpaka sasa wananchi wanahoji unaufaikaji waokwa moja kwa moja na ndege hizo hasa maskini ikiwa hali ya maisha ni ngumu.
Kuna suala la watumishi hewa, hili ni jambo ambalo linadaiwa pamoja na kifanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini wataalam wa mambo wanadai kua pamoja na uhakiki huo kufanyika lakini bado matumizi ya pesa seriksli yanazidi kuongezeka tofauti na awali kabla ya uhakiki kuanza.
Kwahiyo Wanaccm wenyewe hawaridhishwi na hali ispokua wamekua ni waoga kulisemea kwa kuogopa kutumbuliwa, hii inaweza kuwafanya kufikia 2020 wakiwa na hasira ambazo wanaweza kuzimalizia kwenye sanduku la kura.
Watu hawawezi kuishi kwenye maisha magumu halafu warudi kumchagua tena Yule yule aliyewaumiza kwa muda mrefu, kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa Rais aliyepo akaongoza kwa miaka 5 tu tofauti na inavyotarajia hivi sasa.
Mnaanza kuzungusha mikono mapema namna hii, si mtakua mmechoka hoi 2020?Kama hali ikiendelea hivi hivi, kuna uwezekano CCM wenyewe wakabadilisha mgombea wa Urais,tunaweza kubishana sana humu na kutupiana maneno makali sana lakini kwa ninavyoona hivi sasa ni kwamba watu wamechoka!waliochoka ni wananchi wa hali zote, sio maskini hata watumishi wa umma, wanafunzi wa Elimu ya juu ndio kabisa.
Sababu pekee ibayombaba rahisi Magufuli ni Utoaji wa Elimu bure ambalo nalo limelalamikiwa kwa pesa kufika kiduchu mashuleni kiasi cha shule kushindwa kujiendesha, Sababu nyingine inayoibeba serikali kwa sasa ni ununuzi wa ndege mbili ambazo mpaka sasa wananchi wanahoji unaufaikaji waokwa moja kwa moja na ndege hizo hasa maskini ikiwa hali ya maisha ni ngumu.
Kuna suala la watumishi hewa, hili ni jambo ambalo linadaiwa pamoja na kifanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini wataalam wa mambo wanadai kua pamoja na uhakiki huo kufanyika lakini bado matumizi ya pesa seriksli yanazidi kuongezeka tofauti na awali kabla ya uhakiki kuanza.
Kwahiyo Wanaccm wenyewe hawaridhishwi na hali ispokua wamekua ni waoga kulisemea kwa kuogopa kutumbuliwa, hii inaweza kuwafanya kufikia 2020 wakiwa na hasira ambazo wanaweza kuzimalizia kwenye sanduku la kura.
Watu hawawezi kuishi kwenye maisha magumu halafu warudi kumchagua tena Yule yule aliyewaumiza kwa muda mrefu, kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa Rais aliyepo akaongoza kwa miaka 5 tu tofauti na inavyotarajia hivi sasa.
Najua hali hii haiwezi kuendelea mpaka huko 2020,pili hata ikiendelea watu watakua wameshajua namna ya kuishi nayo kwa hiyo aliyepo atachaguliwa tu.Sasa hivi Kilio ni kikubwa kwakua aliyepo ameleta mabadilko ambayo wengi hawakuzoea lkn ni mazuri.Kama hali ikiendelea hivi hivi, kuna uwezekano CCM wenyewe wakabadilisha mgombea wa Urais,tunaweza kubishana sana humu na kutupiana maneno makali sana lakini kwa ninavyoona hivi sasa ni kwamba watu wamechoka!waliochoka ni wananchi wa hali zote, sio maskini hata watumishi wa umma, wanafunzi wa Elimu ya juu ndio kabisa.
Sababu pekee ibayombaba rahisi Magufuli ni Utoaji wa Elimu bure ambalo nalo limelalamikiwa kwa pesa kufika kiduchu mashuleni kiasi cha shule kushindwa kujiendesha, Sababu nyingine inayoibeba serikali kwa sasa ni ununuzi wa ndege mbili ambazo mpaka sasa wananchi wanahoji unaufaikaji waokwa moja kwa moja na ndege hizo hasa maskini ikiwa hali ya maisha ni ngumu.
Kuna suala la watumishi hewa, hili ni jambo ambalo linadaiwa pamoja na kifanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini wataalam wa mambo wanadai kua pamoja na uhakiki huo kufanyika lakini bado matumizi ya pesa seriksli yanazidi kuongezeka tofauti na awali kabla ya uhakiki kuanza.
Kwahiyo Wanaccm wenyewe hawaridhishwi na hali ispokua wamekua ni waoga kulisemea kwa kuogopa kutumbuliwa, hii inaweza kuwafanya kufikia 2020 wakiwa na hasira ambazo wanaweza kuzimalizia kwenye sanduku la kura.
Watu hawawezi kuishi kwenye maisha magumu halafu warudi kumchagua tena Yule yule aliyewaumiza kwa muda mrefu, kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa Rais aliyepo akaongoza kwa miaka 5 tu tofauti na inavyotarajia hivi sasa.
Umekosa cha kuandikaKama hali ikiendelea hivi hivi, kuna uwezekano CCM wenyewe wakabadilisha mgombea wa Urais,tunaweza kubishana sana humu na kutupiana maneno makali sana lakini kwa ninavyoona hivi sasa ni kwamba watu wamechoka!waliochoka ni wananchi wa hali zote, sio maskini hata watumishi wa umma, wanafunzi wa Elimu ya juu ndio kabisa.
Sababu pekee ibayombaba rahisi Magufuli ni Utoaji wa Elimu bure ambalo nalo limelalamikiwa kwa pesa kufika kiduchu mashuleni kiasi cha shule kushindwa kujiendesha, Sababu nyingine inayoibeba serikali kwa sasa ni ununuzi wa ndege mbili ambazo mpaka sasa wananchi wanahoji unaufaikaji waokwa moja kwa moja na ndege hizo hasa maskini ikiwa hali ya maisha ni ngumu.
Kuna suala la watumishi hewa, hili ni jambo ambalo linadaiwa pamoja na kifanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini wataalam wa mambo wanadai kua pamoja na uhakiki huo kufanyika lakini bado matumizi ya pesa seriksli yanazidi kuongezeka tofauti na awali kabla ya uhakiki kuanza.
Kwahiyo Wanaccm wenyewe hawaridhishwi na hali ispokua wamekua ni waoga kulisemea kwa kuogopa kutumbuliwa, hii inaweza kuwafanya kufikia 2020 wakiwa na hasira ambazo wanaweza kuzimalizia kwenye sanduku la kura.
Watu hawawezi kuishi kwenye maisha magumu halafu warudi kumchagua tena Yule yule aliyewaumiza kwa muda mrefu, kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa Rais aliyepo akaongoza kwa miaka 5 tu tofauti na inavyotarajia hivi sasa.
Yeye ndo yakamtokea puani, fikirini kabla ya kuongea ccm ni chama DumeNamkumbukq mkosa Mali bungeni,nanukuu,*#HAWA WATU JAMAN TUNAOMBA MTUELEWE HAWANA UWEZO WAKUONGOZA,WATANZANIA WAKICHAGUA CCM MWAKA HUU,NASHAURI TUTAFUTE CONSULTANCY,WAPIMWE UWEZO WAO[emoji23][emoji23][emoji23]
hata mimi sio ata mimi, ila jipe moyo tuAta mimi ninachokiona 2020 Magufuli kuibuka na ushindi wa 80% maana watanzania wengi wanamuelewa wana uhakika kesho yao ni nzuri zaidi kuliko wangemkabidhi nchi FISADI KUU.
Mwenyekiti CCM JF
kaka usidhani CCM uko peke yako!hata mimi ni CCM lakini maisha ni magumu na sio kweli eti wanaolalamika maisha magumu ni watu wa MADILI.Ukweli ni kwamba uchumi wetu UMEPATWA na hali ya uchumi haiwezi kutengemaa kwamda wa miaka mitano au kumi maana uchumi wetu UMECHOKONOLEWA VIBAYA SANA KWENYE INJINI.Ata mimi ninachokiona 2020 Magufuli kuibuka na ushindi wa 80% maana watanzania wengi wanamuelewa wana uhakika kesho yao ni nzuri zaidi kuliko wangemkabidhi nchi FISADI KUU.
Mwenyekiti CCM JF