VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
1. Wanachama na wapenzi wa tangu enzi wa CCM, hasa wanawake na wazee, wanajiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura
2. Siku za Kampeni kunakuwa na siasa za kisasa zisizo na anasa
3. Waratibu wa Uchaguzi wanaambilika na chama
4. Siku ya kupiga kura, wanachama na wapenzi wa CCM wanakwenda kupiga kura
5. Kutakuwa na wagombea kila jimbo na kata, wakala kila kituo
Wenzetu wapinzani hawafanyi haya na wanaishia, baada ya matokeo, kulalamika na kulialia. Tukutane Oktoba!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam