Ninaanzaje kukukubali?

Kwahiyo tukitoka we ukiagiza chips mi naagiza ugali sio,

Halafu ukibakiza zile chips nakwambia leta hapa nizimalizie eti eeeh,

Kwa siku nioge mara moja tu halafu napaka mafuta ya 300 hata ya kula kama yapo karibu eti,
Huyu mama ni kila.za kweli.Yaani mwanaume usitumie mafuta/vitu vya gharama kisa nini haswa.Akitaka mwanaume wa dizaini yake aende vijijini kwa wachunga ng'ombe ndo wanapaka mafuta ya ng'ombe.
 
Wanaume wa Dar ni janga kwa taifa..

Inabidi [HASHTAG]#Watubu[/HASHTAG]...
 
Huyu dogo ni manzi vyanzo vyangu makini vimenihabarisha..na ni bonge la demu mkuu..pitia uandish wake
Tangaza njaa mkuu...ili ucheki kama ni bwawa au kisima........
 
Huyu mama ni kila.za kweli.Yaani mwanaume usitumie mafuta/vitu vya gharama kisa nini haswa.Akitaka mwanaume wa dizaini yake aende vijijini kwa wachunga ng'ombe ndo wanapaka mafuta ya ng'ombe.
Mnajitokeza huko mlipojificha wapaka poda wakubwa nyie...
 
Daaaah utaniuwaa kwa kuchekaaaa mwenzioo....
Jamaaaaan usife mwayaaaa ,,sasa nitamchekesha nani naunajuaa upo pekee ako ??? Aya sasa ,,au unataka namm siku ya harusi nikufanyie km huyu ndugu yangu

siunajua kale kaahadi kakukufanya ucheke Muda wote ?????
 
ha ha haaa mama weeee kwa mambo haya utanifanya siku ya harusi Ilo shela nilishone kimini kwakweli .na kakumbuka sana tu.
 
Basi tulia ivo ivo ,nikupe vyamoto vyakoo,, basi km niivo ,mie nitavaa zangu jezi ya Man U wee uvae shela yakoo mambo yawe km hayo !!.
 
Hahaha anakula soseji moja...wakati tano tu naona nakula karanga......[HASHTAG]#SOSEJIMOJA[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…