Hapo mwenye shida ni nani "mpaka poda aliekuseduce" au "wewe uliemkubalia" halafu mwisho wa siku unamwaga OMOKijana Shabab kabisa. Unapaka poda, unalegeza sauti na kuongea kama mwanamke. Mwili unaulegeza kama mwanamke.
Outing unakula soseji moja na nusu glasi ya juisi, halafu unajitia huwezi kumaliza.
Maongezi yako yote, ni kujisifia. Gari unaloendesha umeazima..Lol
Mwanaume unatakiwa ujiamini. Ishi kiume, kupretend waachie wanawake.
Kama huna kitu, ndo hali yako.Ila onesha namna unavyoweza kupambana na hatimaye kupata matokeo.
Ninyi wanaume wa Dar vipi?
Yeah, wanajifanya wa kishua kumbe 0. Hakuna hasara utakayopata ukiwa real. Be you, usi act maisha maana huwa inatokea watu puani.Hakika , mwanamme nilazima ujiamini kwa jinsi ulivyo.
Leo hii nashuhudia lundo kubwa LA wanaume waloishia kua na Madeni eti kisa KUONEKANA[emoji23][emoji23][emoji23]..
Hapo chachaa,..halafu ukweli humweka MTU huru aiseeee yaani unaishi peacefullyHahahaaaaaa mwanamme lazima uwe mkakamavu ,mgumu ,,huna jiamin km huna ,nikidogo jiamin ...
Kuna jamaaa ,, yaaan akiwa ana demu anakufata umwachie ndani mwako ,, sasa banaa mataiz anayoyafanya haaaaaaaaa mademu wanaishiaga kumwambia "nioe baby ,nioe nikupe watoto"..... Jamaa anageto lake kiaina ila hajiamin daaaahhhhh... Mwisho wasiku amekua hakai na mwanamke hata mwezi yaaan ,,Siunajua uongo mwisho huwa ni Aibu ?? Sasa kuficha aibu ,ameamua kua mtu wakula mzigo nakusepa basiiiii...
Mwanamme nikujiamin ,km unajua sarakasi ,Fanya sarakasi mwanamke wako aone maajabu km huyu kaka yangu[emoji116] [emoji116] [emoji116].. Yeah am rude/angry ukinipenda poaa usiponipenda poaa ,,yann pretend wakat IPO siku Asili yangu utaijua??.
Sasaaaaaaaa unakua huruuuuuuuuuuu balaaaa ,, maisha yanakua matamuuuuu......naakija kwako kukutembelea huna hofu kabisaaa.Hapo chachaa,..halafu ukweli humweka MTU huru aiseeee yaani unaishi peacefully
Asante Mimi namiliki baiskel mkuu.Na wanawaangaliaga watu wa kuwatongoza
Mimi sitakagi hata wanisogelee!
Hupaki poda mkuu?Asante Mimi namiliki baiskel mkuu.
Twaweza kuyajenga ?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakika , mwanamme nilazima ujiamini kwa jinsi ulivyo.
Leo hii nashuhudia lundo kubwa LA wanaume waloishia kua na Madeni eti kisa KUONEKANA[emoji23][emoji23][emoji23]..
Mkuu poda zinawenyewe ..apa nipo really kabisa!!.Hupaki poda mkuu?
Sawa, ila si una mtu humu wewe![emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu poda zinawenyewe ..apa nipo really kabisa!!.
Wavulana sio wanaumeHakika , mwanamme nilazima ujiamini kwa jinsi ulivyo.
Leo hii nashuhudia lundo kubwa LA wanaume waloishia kua na Madeni eti kisa KUONEKANA[emoji23][emoji23][emoji23]..
Mtu ninaye mkuu , Dini yangu bado inanipa nafasi tatu .Sawa, ila si una mtu humu wewe![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wazazi wako wee nilishakuambia ..jitahidi sanaaa ..watafia kwenye makuti nazile tope.[emoji3] [emoji3] [emoji3]We ni pure delicious..
Hongera, mm moyo wa kukaa na wenza sina mkuu!Mtu ninaye mkuu , Dini yangu bado inanipa nafasi tatu .
Hahahaha mamaeeee ,, jilingeshe uone ,utarudi chupi umeshikilia kichwani.Nina uhakika we ni bonge la demu kwanin unajificha mtt mzuri
Mkuu kila mtu atapata kwake nakila mtu atapata huduma sawasawa !!..Hongera, mm moyo wa kukaa na wenza sina mkuu!