Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Kwel aiseh itabid nikupm maana mi ni zaidi ya mgumuKijana Shabab kabisa. Unapaka poda, unalegeza sauti na kuongea kama mwanamke. Mwili unaulegeza kama mwanamke.
Outing unakula soseji moja na nusu glasi ya juisi, halafu unajitia huwezi kumaliza.
Maongezi yako yote, ni kujisifia. Gari unaloendesha umeazima..Lol
Mwanaume unatakiwa ujiamini. Ishi kiume, kupretend waachie wanawake.
Kama huna kitu, ndo hali yako.Ila onesha namna unavyoweza kupambana na hatimaye kupata matokeo.
Ninyi wanaume wa Dar vipi?
Babyy[emoji23] [emoji23] [emoji23] umekunwa palipo stail !!!Umekutana na shouugeerrr shostii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umekutana na shouugeerrr shostii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaahh,,kanichekesha tuuu kuna mkaka juzi alikuja home kurudisha kitu flan waliazima,ni majirani tuu,sasa akanikuta mm looh mpaka nikajihisi mm mwanaumee yaani hicho kitu alichokua amekirudisha hiyo slain yake uuwiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa ndio hawa hawa wakula sotheji nusu nakuacha mweh..halafu ni wale wa s anaweka x heeee Jamanii mwanaume inanoga uwe mgumu mgumu/mkakamavu japo kidogoBabyy[emoji23] [emoji23] [emoji23] umekunwa palipo stail !!!
Kikubwa ni kuishi kiume.Kwahiyo tukitoka we ukiagiza chips mi naagiza ugali sio,
Halafu ukibakiza zile chips nakwambia leta hapa nizimalizie eti eeeh,
Kwa siku nioge mara moja tu halafu napaka mafuta ya 300 hata ya kula kama yapo karibu eti,
Hapana ni mtoto wa mjumbeKwenye avatar ni wewe?
nine Pm
Hahahaaaaaa mwanamme lazima uwe mkakamavu ,mgumu ,,huna jiamin km huna ,nikidogo jiamin ...Aaahh,,kanichekesha tuuu kuna mkaka juzi alikuja home kurudisha kitu flan waliazima,ni majirani tuu,sasa akanikuta mm looh mpaka nikajihisi mm mwanaumee yaani hicho kitu alichokua amekirudisha hiyo slain yake uuwiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa ndio hawa hawa wakula sotheji nusu nakuacha mweh..halafu ni wale wa s anaweka x heeee Jamanii mwanaume inanoga uwe mgumu mgumu/mkakamavu japo kidogo
Weee nilishakuambia ivi usije ukaacha wazazi wako wakafia kwenye zile tope !! Work hard man !!.[emoji23] [emoji23]Kwaiyo na ww unajiita mkakamavu?? Poor delicious