Ninaandaa debate humu

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,936
Reaction score
3,940
Hapo kwa Kiranga na mama mchungaji (huyu ni mwinjilisti) . Jukwaa lingekaa darasani kwa utulivu, kama Kiranga angewekwa na Somebody Mtangoo (huyu ni mwalimu wa kiroho na kiimani kwa mtazamo wangu). Hapo Ndio new comer wangeona na kushuhudia Atheist Kiranga ni Mwepesi sana 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…