Mavindozii JF-Expert Member Oct 20, 2012 2,111 2,759 Dec 7, 2017 #1 Wakuu wa nchi Nina wazo la biashara nahitaji patner tunaweza kufanya naye nimeshaifanya tathimini inalipa sana , Nitumie sms please Kwa maelezo zaidi ,
Wakuu wa nchi Nina wazo la biashara nahitaji patner tunaweza kufanya naye nimeshaifanya tathimini inalipa sana , Nitumie sms please Kwa maelezo zaidi ,
Mavindozii JF-Expert Member Oct 20, 2012 2,111 2,759 Dec 7, 2017 Thread starter #3 saasita said: mods futa huu uzi Click to expand... Phuck
Mavindozii JF-Expert Member Oct 20, 2012 2,111 2,759 Dec 7, 2017 Thread starter #9 Biashara yenyewe Ni kununua scania mende from UK na fuso tipper ndogo na kuanza biashara ila mtaji wake Ni mkubwa ,karibia milioni 150 ,for both rigs
Biashara yenyewe Ni kununua scania mende from UK na fuso tipper ndogo na kuanza biashara ila mtaji wake Ni mkubwa ,karibia milioni 150 ,for both rigs
Lookmalasin JF-Expert Member Jan 7, 2017 925 971 Dec 7, 2017 #10 Mkuu what kind of partner do you want? Be very specific if you can.
saasita Senior Member Aug 10, 2017 119 62 Dec 7, 2017 #11 Mavindozii said: Phuck Click to expand... ahsante . jifunze kwanza kujieleza mbele za watu wanaojielewa . unaleta wazo kwenye mwanga unataka watu wakufuate gizani mkuu
Mavindozii said: Phuck Click to expand... ahsante . jifunze kwanza kujieleza mbele za watu wanaojielewa . unaleta wazo kwenye mwanga unataka watu wakufuate gizani mkuu
R Ricecooker JF-Expert Member Aug 9, 2017 501 896 Dec 27, 2017 #13 Hauna pesa wewe,kama ungekuwa na uwezo wa kununua mende usingehangaika hapa.jf imevamiwa na wasiojielewa.
Hauna pesa wewe,kama ungekuwa na uwezo wa kununua mende usingehangaika hapa.jf imevamiwa na wasiojielewa.