Nina wasiwasi sitapata mkopo wa chuo nisaidieni mawazo

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Ili upate mkopo lazima chuo kitume jina Lako na taarifa zako zote, sasa mimi wakati wa kuomba chuo nilikosea kujaza mwaka wangu wa kuzaliwa, aidha sikuwa makini au keyboard iliautotype.

Sasa kule bodi ya mkopo nimejaza vizuri nikaambatanisha na cheti cha kuzaliwa (1_4-1996) lakini chuoni wajua nimezaliwa (1_4_1993) hapo ndokimbembe

Kosa la mwisho nilisahau kujaza taarifa za mlezi japo Sina mlezi mama amefariki nakaa na baba tu. Naombeni mawazo yenu maana nipo confused .
 
Kwani hauwezi ku edit nahisi kuna mda wanaruhusu ufanye marekebisho
 
Wakifanya comparison watakuta nimeprovide wrong information btn college information and HESLB
Bodi watakupa mkopo kama utakuwa umekidhi vigezo vyao. Chuo nako utaenda na cheti cha kuzaliwa,cheti cha kidato cha nne na matokeo mengine kwa ajili ya uthibitisho.

Marekebisho utayafanyia chuo kwa kutumia hivyo vielelezo
 
Mkopo utapata.navyohisi heslb hawaangalii taarifa ulizojaza chuo bali wanaangalia kama umedahiliwa na ni chuo gani kupitia namba ako ya form four.hope kila kitu kitaenda sawa.kila la kheri dogo
 
Ili upate mkopo lazima chuo kitume jina Lako na taarifa zako zote, sasa mimi wakati wa kuomba chuo nilikosea kujaza mwaka wangu wa kuzaliwa, aidha sikuwa makini au keyboard iliautotype.

Sasa kule bodi ya mkopo nimejaza vizuri nikaambatanisha na cheti cha kuzaliwa (1_4-1996) lakini chuoni wajua nimezaliwa (1_4_1993) hapo ndokimbembe

Kosa la mwisho nilisahau kujaza taarifa za mlezi japo Sina mlezi mama amefariki nakaa na baba tu. Naombeni mawazo yenu maana nipo confused .
Hapo usiwe na wasiwaisi kijana,kama ulikosea kutuma taarifa unaweza kurekebisha taarifa hio harafu ukawatumia bodi kupitia email yao kisha wao wataifanyia kazi na kuweka taarifa kamili.
 
Taarifa zilizopo chuoni you can't edit

Hapana unaweza fanya editing maana ule ni mfumo wa maombi tu na kila mwaka unaexpire na ukienda chuo utafunguliwa account ya uanfaunzi na file lako sasa apo ndio upeleke taarifa zako sahihi… taarifa za chuoni zinaedtika poa tuh
 
Back
Top Bottom