Nina wasiwasi nimelogwa na mpenzi wangu wa zamani

Habari zenu kwa ujumla,

Kuna jambo nimeligundua wapenzi najua humu kuna wajuaji zaidi yangu mnisaidie mawazo yenu.

Ni hivi tokea nianze mahusiano na ex wangu cha ajabu sijawahi kutembea na mwanaume yeyote tena sio kutembea tuu hata kuwa na mahusiano na mtu mwingine tena sijawahi. Hii kitu niliistukia tuu nilipoanza nae huyo ex nilikua sijavunja mahusiano na alikuwepo kabla yake lakini chakushangaza tulikuwa hatuwezi kufanya chochote zaidi ya kuishi tuu kama kaka na dada ila yeye tuna duu kama kawaida imeenda hivyo hadi ikabidi niachie ngazi kwa alikuwepo nikabaki na huyu ex tuu basi.

Kama kawaida sisi wakubwa yale mambo yetu ya kuchepuka nikichepuka tuu huyo mchepuko hawezi kunifanya chochote zaidi ya Roma tuu inaendelea hivyo hadi tunaachana ila kwa ex shwari tuu.

Sasa nilishaschana na ex ilishapita miaka 3 sasa hivi, kila akitokea mtu hatufikii kwenye kuduu lazima tuachane yaani tokea nilipoachana nae sijawahi sex na mtu yoyote niponipo tuu na hata nikianza mahusiano na mtu hatufikii kwenye kuduu lazima tuachane jamani hiki nini?

Naonekana niko kwenye mahusiano kwenye jamii ila hayafunction nafatwa na wanaume lundo ila niko too much selective then haitapita mwezi tumegombana tunaachana khaah ngastuka.
Hii ni aina moja ya kufikiria
Inawezekana ww ndio tatizo na yy ndio mtu pekee anayeweza kukuvumilia.
Umewahi kuzungumza na hao wote uliokuwa nao ktk mahusiano kujua reason ya wao kuachana na ww ni nn ?
Je vp kuhusu uliokuwa nao ktk mahusiano kabla ya huyu unayehisi kakuloga?
Jaribu kufikiri kwa upana na kushirikisha wazazi/ndugu/marafiki unaowaamini na wanaokutambua wakueleze ukweli bila kukuficha
 
kwani kama unataka kutombwa lazima uwe na mahusiano?? jilengeshe tu uone watu wanavyobutua, itakuwa ukianzisha mahusiano unataka uweke sheria zako, watu wanaishia kukuangalia tu.


NB. Nipe fursa niibutue hutojutia.
 
Back
Top Bottom