Nina wasiwasi nimelogwa na mpenzi wangu wa zamani

Me nadhani umetufahamisha hali yako, lkn sio kitu cha kuomb
ea ushauri wakat tatizo umelitaja mwenyewe
 
Inawezekana amekufunga... Mimi mwenyew siwezi ishi na mwanamke bila kumtengeneza. So kwaushauri kajitibu kulimgana na imani yako. Kama ni mkristo nenda kanisani ukaombewe. Kama unaamini mambo yetu Yale. Mtafute Mtu mzito, yupo humu humu Jf atakusaidia. Ao njoo kwetu ufipa tatizo lako litakwisha kabla hata hujajielezea unatatizo gani.
 
WaTanzania Akili Mnaziweka wapi? Mwenyewe ushasema upo too selective sasa Kulogwa kuko wapi hapo
 
Mi naamini haya mambo yapo...unaweza jiona uko vizuri ila umefungwa usiwe na mtu mwingine...utashangaa unashikwa na nyege utatongoza ila ikifika issue ya ku finalise game unapotezea.

Haya mambo shida sana hasa kama ukiwa ulikua na dem ukamkataa lazima akufanyie uswahili.

Kuna mwanamke flan alikua rafiki yangu sasa nikawa nae kwa urafiki tu wa kawaida...ila nilikua namtania na masihara mengi....nikaja note kila dem nliyekua nafukuzia akimjua tu anaharibu. Mara kibao tu.

Its very annoying. Mtu anakufanyia ulozi anakuweka gizani katika ulimwengu wa roho huku physically kila unacho target on certain areas in ur life (love issues) haki materialise physically. Mpaka uwe mjanja ndio utashtukia otherwise utabaki jiona una gundu wakat kuna mtu anazuia tu.
 
Siku mkikutana tu mwambie mduu muache porojo zingine za romances
 
Habari zenu kwa ujumla,

Kuna jambo nimeligundua wapenzi najua humu kuna wajuaji zaidi yangu mnisaidie mawazo yenu.

Ni hivi tokea nianze mahusiano na ex wangu cha ajabu sijawahi kutembea na mwanaume yeyote tena sio kutembea tuu hata kuwa na mahusiano na mtu mwingine tena sijawahi. Hii kitu niliistukia tuu nilipoanza nae huyo ex nilikua sijavunja mahusiano na alikuwepo kabla yake lakini chakushangaza tulikuwa hatuwezi kufanya chochote zaidi ya kuishi tuu kama kaka na dada ila yeye tuna duu kama kawaida imeenda hivyo hadi ikabidi niachie ngazi kwa alikuwepo nikabaki na huyu ex tuu basi.

Kama kawaida sisi wakubwa yale mambo yetu ya kuchepuka nikichepuka tuu huyo mchepuko hawezi kunifanya chochote zaidi ya Roma tuu inaendelea hivyo hadi tunaachana ila kwa ex shwari tuu.

Sasa nilishaschana na ex ilishapita miaka 3 sasa hivi, kila akitokea mtu hatufikii kwenye kuduu lazima tuachane yaani tokea nilipoachana nae sijawahi sex na mtu yoyote niponipo tuu na hata nikianza mahusiano na mtu hatufikii kwenye kuduu lazima tuachane jamani hiki nini?

Naonekana niko kwenye mahusiano kwenye jamii ila hayafunction nafatwa na wanaume lundo ila niko too much selective then haitapita mwezi tumegombana tunaachana khaah ngastuka.
We njoo kwangu baada ya wiki utaleta mrejesho hapa....ila kama ni changamsha genge tu poa
 
Kucheatrah
 
Nawe mloge tu ngoma iwe droo
 
Cheating raha
 
Kwani kuchepuka sifa ndo mana kakupig PUK Maana anajua utuliii na ukicheza auji kuonjwa tens ndo maisha unless kabla ya kusex waambie ao wanaume wataje jina lake ndo PUK iyo
 
Latifaa sidhani kama umelogwa mamii, ni saikologia yako tu inakudanganya ila hapa Mungu tu anakuepesha na kitu flani hivi, tafuta mmoja na weka malengo nae uta enjoy
 
Back
Top Bottom