Nina wasiwasi hela chafu imepenyeza UKAWA

beachboy

Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
36
Reaction score
4
Ndg zangu Mimi kama mdau mkubwa wa Mageuzi hapa nchini napata Mashaka makubwa na muungano wetu.Ukawa ilipoanza vyama vote vilipata baraka za vikao halali vya vyama husika lakini nimepigwa na butwaa kusikia hapa tulipofikia kumpata mgombea Urais baadhi ya vyama vimeanza kurudi nyuma on pretending kwamba wanakwenda kujadiliana kwenye vikao vya chama.Kwa kweli Mimi ninaona kuna mchezo wa hatari mno kama maamuzi magumu hayatafanyika sasa hivi.Am warning CDM to tread with extra care short of that history will judge them harsh. Some of these partners they are genuineness is subjected into questionable.
 
Teh Teh....Bavicha bora useme wazi maana inajulikana mna sema CUF hasa Profesa Lipumba!

Chadema mnatafuta sababu za kuwafukuza CUF kwenye UKAWA!
 
Teh Teh....Bavicha bora useme wazi maana inajulikana mna sema CUF hasa Profesa Lipumba!Chadema mnatafuta sababu za kuwafukuza CUF kwenye UKAWA!
Hivi UVCCM ipo? Maana Angalau BAVICHA imejijengea taswira yake kwenye jamii,kitu chochote chenye maslahi kwa CDM lazima BAVICHA ihusishwe.Hongera BAVICHA.UVCCM Wajiulize wapo ziiiiiiii!!
 
Ndg zangu Mimi kama mdau mkubwa wa Mageuzi hapa nchini napata Mashaka makubwa na muungano wetu.Ukawa ilipoanza vyama vote vilipata baraka za vikao halali vya vyama husika lakini nimepigwa na butwaa kusikia hapa tulipofikia kumpata mgombea Urais baadhi ya vyama vimeanza kurudi nyuma on pretending kwamba wanakwenda kujadiliana kwenye vikao vya chama.Kwa kweli Mimi ninaona kuna mchezo wa hatari mno kama maamuzi magumu hayatafanyika sasa hivi.Am warning CDM to tread with extra care short of that history will judge them harsh. Some of these partners they are genuineness is subjected into questionable.

Lazima tujifunze kuwaamini viongozi tuliowachagua. Lazima tuwe na imani na viongozi tuliowaweka, tukianza kuwa na shaka sisi kwa sisi hatufiki, na hilo ndo ombi la wana CCM kwamba tukosane ili washinde kiulaini. Katika dakika hizi za majeruhi mambo ni tete lazima kuwa macho kwa sababu watapenyesha miongoni mwetu hata adui zetu ili kutuvuruga. Kama kuna jambo ovu linafanywa na baadhi ya viongozi wa vyama basi viongozi kwa umoja wale waliopo watalibaini hilo na kulitafutia suluhisho, kulumbana mitandaoni siyo suluhisho.
 
Teh Teh...
 
Ndg zangu Mimi kama mdau mkubwa wa Mageuzi hapa nchini napata Mashaka makubwa na muungano wetu.Ukawa ilipoanza vyama vote vilipata baraka za vikao halali vya vyama husika lakini nimepigwa na butwaa kusikia hapa tulipofikia kumpata mgombea Urais baadhi ya vyama vimeanza kurudi nyuma on pretending kwamba wanakwenda kujadiliana kwenye vikao vya chama.Kwa kweli Mimi ninaona kuna mchezo wa hatari mno kama maamuzi magumu hayatafanyika sasa hivi.Am warning CDM to tread with extra care short of that history will judge them harsh. Some of these partners they are genuineness is subjected into questionable.

Tatizo ni chadema na ulafi wa madaraka tu.
 
labda wawahonge raia kubadili maamuzi ya mabadiliko..

pia kwanini achukue rushwa ndogo akatae neema ya mabadiliko?!.
 
Agenda kuu ilikuwa ni kupata Katiba mpya iliyozingatia maoni ya Wananchi, hili la Uchaguzi mkuu lilihitaji nafasi ya kutosha pia. Hata hivyo nitashangaa sana endapo vyama hivyo havijajiandaa kisaikolojia na plan B pale ambapo agenda ya Uchaguzi mkuu itashindwa kuwaleta pamoja.
 
Mkuu issue ni nzito kuamua kuliko unavyodhani

Ukiteua mgombea atoke chama fulani maana yake ni nini?

Mosi, Kura za urais zitapeleka ruzuku kwa chama kilichosimamisha mgombe na vyama vyote ambavyo havitasamisha mgombea urais ina maana havita pata kitu kwa kura za urais

Pili, kura za urais zina ongeza wabunge wa viti maalum, ina maana chama kitakacho toa mgombea wa urais kitapata nafasi nyingi zaidi za ubunge wa viti maalum na pia kuongeza zaidi ruzuku kwa jumla ya idadi ya wabunge wote wa kuchaguliwa na viti maalum

Swali na changamoto nani atakubali kumuachia mwenzake ulaji huo? Na kama watakubaliana wagawane huo ulaji wa ruzuku tu vipi kuhusu wabunge wa viti maalum watakaopatikani kwa mujibu wa kura za urais?

Na je makubaliano haya hayana nguvu kisheria, vipi chama kilichosimamisha mgombea kikiamua kutokugawa ruzuku kwa makubaliano ya mdomo?

Kwakweli chamgamoto ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom