Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 2,476
- 3,108
Hofu ni mbaya kuliko HIV ndugu. Utakufa kabla ya kurudi uliyoambiwa urudi kwa madaktari.
Subiri majibu ya vipimo baada ya hiyo miezi mitatu.
NB:
Kuna kausemi kanasema Tamaambele mauti njuma. Rekebisha mwenendo na tabia.
Ila wakuu katika hiyo miezi mitatu kama mtu amepata si kuna changes mwilini mtu ataziona?