Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
128
Reaction score
98
Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman nisaidien kwa kuwa hili tatizo linanitesa sana na lilianza kama kaupele hivi mdomoni.


IMG_20201114_162458_303.jpg
 
Mkuu sijawahi zama chumvin hii hali ilianza kunitokea nikiwa na miaka 12 nikiwa LA tano
 
Jiandae kwenda ORCI

Msoto wa pale baaaab kubwa
 
Unahitaji kwenda hospitali kubwa za level ya juu kama Muhimbili, Benjamin Mkapa, KCMC, BUGANDO na Ocean Road
 
Usiogope rudi hospitali watafanya utaratibu wa kuuondoa!
 
Back
Top Bottom