Tatzo LA toy utamiss zile story za mademu zetu wa kibongo wanazokupa baada ya showTenga kama millions 2 ununue toy lako likuliwaze mdogomdogo
Haswaah!
Je umefikiri kuhusu njia hii!??
Toy lina uwezo wa kurecord hivyo unaweza kulijaza ubuyu kiasi chochote unachotaka na baadae unaliwekea repeat huku likijishaua jama kama kawa[emoji13] [emoji13]Tatzo LA toy utamiss zile story za mademu zetu wa kibongo wanazokupa baada ya show
Ukishakuwa na pesa usikariri maisha,Wadau kwema,
Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka Ila kwenye nimeshindwa.
Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.
Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.
Upweke utaniua kidume!
Uchaguzi wako tu. Sema ni vyema uwe unalivisha vinguo tofautitofauti ili likuvutie,,,,, bikini dazan 1 na vyupi vya kawaida dazan 1 sio mbaya[emoji39]Huyo toy unakuwa unamnunulia chupi tofauttofauti na kumuvisha daily!
Atakuwa hana pesa, inakuaje pesa utafte mwenyewe kwa bidii, zishndwe kulainisha moyo wako!!Mbona starehe ni nying... Pesa ndo kila kitu