Mwenye kujua wapi hapa Dar kuna Yard ya Magari ya mitumba ambapo naweza nikapata Carry iwe aina ya Suzuki , Toyota au yoyote ile kwa shillings Million 7.
Mwenye kujua wapi hapa Dar kuna Yard ya Magari ya mitumba ambapo naweza nikapata Carry iwe aina ya Suzuki ,Toyota au yoyote ili kwa shillings Million 7 naomba tuwasiliane kwa 0754485463 au 0656353925.
Asante Mkuu. Unaweza ukanielekeza showroom yoyote hapa Dar inayouza kwa bei hiyo? Nyingi nimekuta wanaanzia M. 10, pungufu 8.5 na mimi uwezo wangu umeishia 7.