Mkuu,na huawei y330,ina miez 2 tu.iko kamil yaan charger,usb cable,user manual na box lake,nahitaj chukua sim nyingne kubwa so nimepungukiwa hela kias, kwa budget yako mi nakuuzia kwa 90,000/=tu, na utaifurahia iko vizur,tufanye biashara leo niko ukonga,nimeku pm, nitumie no yako mda huu 0759 209031 ndio yangu.
Natanguliza shukrani!