Nina tatizo la kukojoa damu

Mkuu ulipona? Na kama ulipona ulifanyaje? Kuna mtu anaiyo shida anahitaji msaada
Kukokoa damu ni dalili ya Kichocho pasi na shakaa...!! So kuna dawa zinaitwa PRAZIQUANTEL ukizipata chap tatizo litaishia lakini pia kama halitaisha mtaenda mbele zaidi kwa check up ya ishu kama Any internal damage iliyolead to bleeding au Cancer. Pole sana
 
Mkuuu hiyo cancer inaweza mpa hofu
 
Ilikuwa nini? Share na wana JF na ulitumia dawa gani ukapona?

Nilikunywa antibiotics sizikumbuki ila maji mengi sana pia yalinisaidia na pia ilikuwa hainekani tatizo ni nini nikaanza kunywa bia mkojo ukawa unatoka mweupe basi ikaishia hapo. Na pia Muhimu kumuomba Mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom