agrey mwalimu New Member Dec 29, 2016 3 0 Jan 7, 2017 Thread starter #2 agrey mwalimu said: Ntampata wapi mtaalam wa dermatomycosis Click to expand... Naombeni msaada wenu
matyhans JF-Expert Member Jan 3, 2013 611 403 Jan 7, 2017 #3 mada haihusiani na jukwaa hili..........
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,793 Jan 7, 2017 #4 Nunua ile Iodine ya maji upake kwenye ngozi iliyoathirika. Siku tatu nyingi utakuwa umepona.