Mkuu nakushauri kabla huja-attempt ku-repair OS yako jaribu kufanya yafuatayo: ifungue hard drive ya lap top yako tafuta/nunua adapter/interface ya kukuwezesha kuifunga kwenye computer nyingine kama external hard drive, ukisha kamilisha hilo basi u-scan lap top drive yako for virus na ikiwezekana u-copy mafaili yako muhimu kwenye folder utakayo kumbuka ndani ya computer inayo tumika ku-scan. Ukisha kamilisha hilo ifungue na kuifunga kwenye lap top yako na ku-boot, hilo likishindikana basi tafuta CD ya OS yako na kufanya ku-restall upya, huwezi kufanya repair kama hujuhi tatizo liltokana na mafaili yepi ambayo yanaweza kuwa repaired unless computer yako ikikueleza in advance kwamba mafaili fulani yana-miss au corrupted hapo ndiyo unaweza kuwa na huakika lipi la ku-repair.