subiri wa Oysterbay wenzako waje. sisi wengine huko tunakusikia tugood sunday JF, naombeni kuuliza. siku za jumapili nikiwa naenda church nimekuwa naona watu wakitembea hasa hii njia ya oysterbay along the ocean. wako dressed for a walk na ni wengi. mwanzoni nilidhani ni charity walk ya IST lakini nimeona the same thing hii sunday ya tatu, so kuna kampuni au watu wenye hii ratiba au vipi. leo nimewaona, walikuwa na police escort and i changed routes. nimewa-admire na ningependa kujua hawa ni akina nani na kwanini wanafanya hivi?
Just ask them straight!
Ni vijana wa mbio za mwenge japo wapo pia na maskauti au wale wa jogging.
sio matembezi ya rotary club kweli??
sio matembezi ya rotary club kweli??
Sina uhakika na unachoKinena.
sijambo darling, unarudi lini?? nimechoka kukaa mwenyewe na pepari la kihaya Bishanga juzi alipita hapa nyumbani akikuulizia akasema usisahau kumletea kahawa za kutafuna na senene kutoka Bukoba