Mimi nilpt ajal ya gar wkt Niko kazn nikavnj mkono ajar ni uxmbe w mwjir alkuw aktmia gar ya mizigo kam staff buss na cku ya ajal aliendsh gar raia wa kigen asie na vgzo mwenye asili ya china,nauliza
Nawezaje kudai fidia ya jumla ikiwa mwjir ana nilipa mshra na matibabu kw mjbu wa mkatba je NAWEZA ISHITKI KAMPUNI KWA KUNIVNJA MKONO MAKUSUDI NA KUDAI FIDIA YA JUMLA KWA MAZINGIRA YA AJALI YALIVO YALIYO NISABISHIA MADHARA?.
Nb.Hakuna tfrafic kesi iliyfngkiw dhud ya mwajili. Asante