Itakuwa ana kibanda cha kuoneshea mpira huyuWewe ni nchungaji?
Yah..zinazingua sanaaa..Hiv betri ya N75 ni shilling ngap kwasasa?Betri haingiz moto, unga directly toa chaja controller hiyo, huwa zinazingua sana hizo siku hizi
Battery linajaa?Hata nikikata speaker shida ni ileile tu
hizo ndo zile speaker za kichina ambazo ziko na amplifier zake ndani ya box. Yaani utaona maandishi ni makubwa, eti 30,000w wakati Kiuhalisia ukipima hata mfumo wake wa umeme haukidhi kuzalisha hata watts100. Hata ukiamua kupima physically na kufanya calculations unaweza kushangaa matokeo yake!...Duhh , Hiyo speaker yako mbona kubwa sana mkuu. Unaitumia wapi?
Wewe ni mchungaji? Sema una feli man hiyo TV ni kubwa sanaSalute,
Nina solar panel watts 100, betri N75 charger control na inverter, changamoto ni kwamba inasukuma tv inch 55' , speaker watts 30,000 na kipaza sauti kwa dakika 5- 10 tu.
Shida ni nini wakuu?
Ushauri wenu tafadhali.
Hebu tusomee na utuandikie hapa watts za hiyo tv, kipaza sauti, na hiyo speaker(watts za speaker usisome palipoandikwa PMPO, soma palipoandikwa RMS. Wachina ni wajanja sana kwenye lugha zao za kibiashara. Watts kwa RMS value ndo sahihi kwa calculations za speaker na pia kama mtengenezaji ni mwaminifu kwenye maandishi).Salute,
Nina solar panel watts 100, betri N75 charger control na inverter, changamoto ni kwamba inasukuma tv inch 55' , speaker watts 30,000 na kipaza sauti kwa dakika 5- 10 tu.
Shida ni nini wakuu?
Ushauri wenu tafadhali.