R Reucherau JF-Expert Member Nov 26, 2014 756 1,740 Feb 27, 2017 #1 Wakuu nini kinachoendelea? mbona nina siku kama tatu sipati gazeti la Jambo Leo, Kulikoni?
bishororo JF-Expert Member Feb 9, 2017 254 358 Feb 27, 2017 #2 Naskia limekuwa banned lkn cna uhakikaa
R Reucherau JF-Expert Member Nov 26, 2014 756 1,740 Feb 27, 2017 Thread starter #3 bishororo said: Naskia limekuwa banned lkn cna uhakikaa Click to expand... Kisa?
Lalo Salamanca JF-Expert Member Dec 9, 2012 1,532 1,118 Feb 27, 2017 #4 bishororo said: Naskia limekuwa banned lkn cna uhakikaa Click to expand... Hata mi nimesikia hivyo kwenye chanzo kisicho rasmi.
bishororo said: Naskia limekuwa banned lkn cna uhakikaa Click to expand... Hata mi nimesikia hivyo kwenye chanzo kisicho rasmi.
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Jul 15, 2015 3,042 2,417 Feb 27, 2017 #5 Nasikia Jamana Printers wamegoma kuwaprintia kwa maelekezo toka Mbinguni.... (ha haaa ila mbingu ya hapahapa duniani)..
Nasikia Jamana Printers wamegoma kuwaprintia kwa maelekezo toka Mbinguni.... (ha haaa ila mbingu ya hapahapa duniani)..