Nina shida ya mawe kwenye nyongo

Nina shida ya mawe kwenye nyongo

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
699
Reaction score
1,041
Naombeni msaada kama kuna yeyote anaejua tiba mbadala ya mawe kwenye nyongo, hospital wanataka kunifanyia operation ya kunitoa nyongo, so alie na utaalam wa wapi naweza pata tiba naomba anisaidie.
 
IMG_20210312_200847.jpg
 
Naombeni msaada kama kuna yeyote anaejua tiba mbadala ya mawe kwenye nyongo. hospital wanataka kunifanyia operation ya kunitoa nyongo, so alie na utaalam wa wapi naweza pata tiba naomba anisaidie
Fuata ushauri wa madaktari wako humu utakufa
 
Naombeni msaada kama kuna yeyote anaejua tiba mbadala ya mawe kwenye nyongo. hospital wanataka kunifanyia operation ya kunitoa nyongo, so alie na utaalam wa wapi naweza pata tiba naomba anisaidie
Pole nigga ,nenda hosptali kwa spesholisti.
 
Hilo linasababishwa na nini kuna mtu kafanyiwa operation ni mawe kabisa wametoa
 
Wakati mwingine kwenye heading unaandika "Nina tatizo La mawe kwenye nyongo" ukiandika nina shida ya mawe kwenye nyongo wengine watatafsiri pengine unayahtaj hayo mawe au unayatafuta any way pole ndugu utapona
 
Wakat mwngne kwenye heading unaandika "Nina tatizo La mawe kwenye nyongo" ukiandika nina shida ya mawe kwenye nyongo wengine watatafsiri pengine unayahtaj hayo mawe au unayatafuta any way pole ndugu utapona
Asante mkuu
 
Ingekuwa figo ningekupa dawa. Ni maji tu, inaitwa water therapy
 
Back
Top Bottom