Nina shida ya app jaman msaada

Nina shida ya app jaman msaada

qarem

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
627
Reaction score
832
Salam ya kicovid19 kwenu,I think mko poa sana wana jf,.......

Bila kung'ata meno, kutingisha sharubu,kupepesa macho plz msaaada...

Mwenye app au jina LA app ambayo unaweza ukatambua au kuzuia MTU anaekufuatilia kimtandao kwa kumbloc kabisa yan naiomba wanajamvi!!!!

Natanguliza shukran kwenu [emoji120]
La_Casa_de_papel_w.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cyber ghost mimi ndio naijua ndio iko vizuri kwa watu wanaopenda kukufuata fuata kama unauwezo tumia hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom