Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

Usalama wa mtu hauangalii wadhifa wake ndug. Unaweza kuwa raia wa kawaida na usalama wako ukawa hatarini kupitia wasiojulikana, panya road nk hasa wanapopata taarifa kwamba umetoka ukubwani
Damascus Syria, Yemen na Congo ambako korasi na burudani zao ni. mabomu na risasi bado raia wanaishi seuze Tanzania.

acha kututangazia mabaya huko 'ukubwani'

basi njoo na ulinzi binafsi kutoka CIA, FBI na Scotland Yard!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kushuka Uwanja wa Ndege ,hakikisha unavaa yale Matambala ya Kijani Kijani hapo utakuwa Salama.
 
We njoo tu vijisent vyako vitapukutika maana hali tuliyo nayo huwezi kuwekeza ukarudisha na kama una vijisenti angalia wasije kukwambia unafanya money laundering
 
Pitia kwa harmorapa akupe mbinu ili ukinyooshewa bastora ujue chakufanya
 
Jifunze basi japo kuandika.
Au ndio uandishi wa huko nje ulipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kama ishafikia hali hiyo bora ninyuti tu
 
mbona unaenda kwenye nchi ambazo kila siku tunasikia watu wamepigwa risasi au wameuawa na magaidi ila kwenu ndio unahofia usalama ebu acha unafiki
 
Si useme kweli kwamba huna nauli ya kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…