Nina plan ya kuja bongo ndugu zangu ila ningependa kujua hali ya usalama kwa sasa ikoje?

Usalama wa mtu hauangalii wadhifa wake ndug. Unaweza kuwa raia wa kawaida na usalama wako ukawa hatarini kupitia wasiojulikana, panya road nk hasa wanapopata taarifa kwamba umetoka ukubwani
Damascus Syria, Yemen na Congo ambako korasi na burudani zao ni. mabomu na risasi bado raia wanaishi seuze Tanzania.

acha kututangazia mabaya huko 'ukubwani'

basi njoo na ulinzi binafsi kutoka CIA, FBI na Scotland Yard!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kushuka Uwanja wa Ndege ,hakikisha unavaa yale Matambala ya Kijani Kijani hapo utakuwa Salama.
 
Kwanza kbs napenda kutanguliza sh'moo kwa wakubwa, na habar gan kwa wale wa rika langu. Bila kupoteza muda leo nimekuja kwenu nikiwa na habar za kusikitisha kidogo baada ya kufiwa na ndugu yang week iliyopita. Nisingependa kuzungumzia san kuhusu sabb ya kifo chake. Kwahiy kwa desturi zetu (japo sio lazima) nahitajika kwend nyumban kuwafariji ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wetu, lkn sasa b4 ya kwenda ningependa kujua hali ya usalama wa nchi kwa sasa ikoje? Je hawa wanaoitwa "Wasiojulikana", pia nasikia kuna wale wanaojiita Panya road, wengine sijui Mende wanyanyua kabati na wengin weng wa aina hiyo bado wapo, na wanaendelea na operation zao kama kawa? au wameshadhibitiwa na vyombo vya usalama? Nimeona kabla ya kuja kichwa kichwa ni bora niulizie hapa ili nipate uhakika wa majibu kwenu. Maana ndug zang kwa sasa wapo ktk hali ya majonzi na ukizingatia wengin wanahitaj nifike tu bila kujua usalama wng utakuwaje kwa siku ntazokuwa huko nyumbani, so hao wa aina hiyo nikiwauliza watanambia njoo tu hapa tuko salama kitu ambacho pengin ni kweli au sio kweli. So Naamini nyinyi ndug zng mliopo humu mnafaham zaid kuliko sisi tulioko nje ya boda. Waswahili wanasema nyumba usiolala au kuishi hauwezi kujua ubovu wake. Sio nifike nikiwa nimechoka na mchoko wa kutembea angani muda mref afu usik nivamiwe na Panya road tupigane mapanga kwa lengo la kuchukua kila nnlichokuwa nacho, au nije nipotezwe na "Wasiojulikana" wakat mimi nimekuja kwa sabb ya msiba na sio kwa sabb nyingin yoyote. Nikipata majibu tofaut na yale ninayoyahitaj mimi nauwa safar rasmi. Namalizia kwa kutoa shukran kwa wote mliosoma na kutoa michango yenu mbali mbali kuhusu niliyouliza. Asanten san
We njoo tu vijisent vyako vitapukutika maana hali tuliyo nayo huwezi kuwekeza ukarudisha na kama una vijisenti angalia wasije kukwambia unafanya money laundering
 
Pitia kwa harmorapa akupe mbinu ili ukinyooshewa bastora ujue chakufanya
 
Kwanza kbs napenda kutanguliza sh'moo kwa wakubwa, na habar gan kwa wale wa rika langu. Bila kupoteza muda leo nimekuja kwenu nikiwa na habar za kusikitisha kidogo baada ya kufiwa na ndugu yang week iliyopita. Nisingependa kuzungumzia san kuhusu sabb ya kifo chake. Kwahiy kwa desturi zetu (japo sio lazima) nahitajika kwend nyumban kuwafariji ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wetu, lkn sasa b4 ya kwenda ningependa kujua hali ya usalama wa nchi kwa sasa ikoje? Je hawa wanaoitwa "Wasiojulikana", pia nasikia kuna wale wanaojiita Panya road, wengine sijui Mende wanyanyua kabati na wengin weng wa aina hiyo bado wapo, na wanaendelea na operation zao kama kawa? au wameshadhibitiwa na vyombo vya usalama? Nimeona kabla ya kuja kichwa kichwa ni bora niulizie hapa ili nipate uhakika wa majibu kwenu. Maana ndug zang kwa sasa wapo ktk hali ya majonzi na ukizingatia wengin wanahitaj nifike tu bila kujua usalama wng utakuwaje kwa siku ntazokuwa huko nyumbani, so hao wa aina hiyo nikiwauliza watanambia njoo tu hapa tuko salama kitu ambacho pengin ni kweli au sio kweli. So Naamini nyinyi ndug zng mliopo humu mnafaham zaid kuliko sisi tulioko nje ya boda. Waswahili wanasema nyumba usiolala au kuishi hauwezi kujua ubovu wake. Sio nifike nikiwa nimechoka na mchoko wa kutembea angani muda mref afu usik nivamiwe na Panya road tupigane mapanga kwa lengo la kuchukua kila nnlichokuwa nacho, au nije nipotezwe na "Wasiojulikana" wakat mimi nimekuja kwa sabb ya msiba na sio kwa sabb nyingin yoyote. Nikipata majibu tofaut na yale ninayoyahitaj mimi nauwa safar rasmi. Namalizia kwa kutoa shukran kwa wote mliosoma na kutoa michango yenu mbali mbali kuhusu niliyouliza. Asanten san
Jifunze basi japo kuandika.
Au ndio uandishi wa huko nje ulipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panya road bado wapo,wanabadirisha majina tu. Vile vile na wasiojulikana bado wanatrend mkuu. Nakushauri ndugu zako kama unawapenda wasafirishe wote,waje huko huko. Sisi tuko tuko huku mkuu tuna ngozi ya mamba,kama huna ngozi ya mamba usije mkuu,ukifika tu airport watakula na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kama ishafikia hali hiyo bora ninyuti tu
 
mbona unaenda kwenye nchi ambazo kila siku tunasikia watu wamepigwa risasi au wameuawa na magaidi ila kwenu ndio unahofia usalama ebu acha unafiki
 
Kwanza kabisa napenda kutanguliza shikamoo kwa wakubwa, na habari gani kwa wale wa rika langu

Bila kupoteza muda leo nimekuja kwenu nikiwa na habari za kusikitisha kidogo baada ya kufiwa na ndugu yangu week iliyopita.

Nisingependa kuzungumzia sana kuhusu sababu ya kifo chake. Kwahiyo kwa desturi zetu (japo sio lazima) nahitajika kwenda nyumbani kuwafariji ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wetu.

Lakini sasa kabla ya kwenda ningependa kujua hali ya usalama wa nchi kwa sasa ikoje?

Je hawa wanaoitwa "Wasiojulikana", pia nasikia kuna wale wanaojiita Panya road, wengine sijui Mende wanyanyua kabati na wengine wengi wa aina hiyo bado wapo, na wanaendelea na operation zao kama kawaida? Au wameshadhibitiwa na vyombo vya usalama?

Nimeona kabla ya kuja kichwa kichwa ni bora niulizie hapa ili nipate uhakika wa majibu kwenu. Maana ndugu zangu kwa sasa wapo katika hali ya majonzi na ukizingatia wengine wanahitaji nifike tu bila kujua usalama wangu utakuwaje kwa siku nitazokuwa huko nyumbani.

So hao wa aina hiyo nikiwauliza wataniambia njoo tu hapa tuko salama kitu ambacho pengine ni kweli au sio kweli. So naamini nyinyi ndugu zangu mliopo humu mnafahamu zaidi kuliko sisi tulioko nje ya boda.

Waswahili wanasema nyumba usiolala au kuishi hauwezi kujua ubovu wake. Sio nifike nikiwa nimechoka na mchoko wa kutembea angani muda mrefu halafu usiku nivamiwe na Panya road tupigane mapanga kwa lengo la kuchukua kila nilichokuwa nacho, au nije nipotezwe na "Wasiojulikana" wakati mimi nimekuja kwa sababu ya msiba na sio kwa sababu nyingine yoyote.

Nikipata majibu tofauti na yale ninayoyahitaji mimi naua safari rasmi. Namalizia kwa kutoa shukrani kwa wote mliosoma na kutoa michango yenu mbalimbali kuhusu niliyouliza.

Asanteni sana.
Si useme kweli kwamba huna nauli ya kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom