Nina mkosi

huna mkosi wowote na wasiotongozwa kabisa wasemeje?? tatizo ni uchache wa wanaume hapa duniani, wengi wana watu wao na nyie mpo weng ni lazimz wengne wamiliki 2 au wa 3, kama hutojali ni PM tuangalie kama tunafaana me pia nipo na dem wa mtu tuanze new life na wewe kama upo serious!!
 

unaakili zako sana wewe!! but wengine mnajua kutoa udhauri but mambo yenu mmmmmmmh...........
 
Unaonekana una wezere mtepwetwo
 
mamaaa bora umeshtuka mapema mimi nilianza kukumbwa na hali hiyo nikiwa na 19yrs now ten yrs mbele hakuna mabadiliko. Huna utoto wowote huo ndio muda wakupata muwafaka mapema

yap kweli mkuu! Bora amegundua mapema! kikubwa amuombe mungu yan hataamin atapata mtu wa kweli had ashangae so asiache kuwasiliana na mungu wake!
 
mapenzi mapenzi mapenzi..
yana run dunia
 
...hakuna chako mwenyeweeeeee SWEETITO, wenzio wanatafuta hata hicho cha ku-share hawapati.
 
23yrs unasema mdogo? Huku ataukiwa na 48 utaambiwa mbona bado mtoto, 23yrs ndio umri powa
wakuolewa
Unajua bidada au kaka, kama si akina sie tulioogopa umande, inatakiwa mtu kuolewa awe ana masters kwa sasa kama mchumba wangu. Miaka 23 atakuwa bado. Kuolewa ni afadhali awe 30 ili akatulie kwa mumewe
 
23 MIAKA wewe bado mda wako,omba MWENYEZI MUNGU atakupa wako
 
Humu duniani kila mtu na tatizo lake.mwingine hili mwingine lile.
Mungu tusaidie
 
unaakili zako sana wewe!! but wengine mnajua kutoa udhauri but mambo yenu mmmmmmmh...........

Namshukuru Mungu. Ushauri ninaotoa unaendana na ka ex-pirience niliko nako na mambo yangu si mabaya kwa kweli
 

  • Kwanza inategemea wewe huwa unapatikana maeneo gani, kama unakaa sana na rafiki zako obviously wanaume wanaowazunguka ndio watakufungukia zaia (wachumba zao, waume zao, kaka zao na baba zao)
  • Halafu inavyoonesha hujui kusubiri kwa sababu si kweli kama uko desirable kiasi cha watu kuasi ahadi zao wakutongoze utakosa a single man wa kufanya hivyo...
  • Pia maybe standard za watu unaowataka wengi wameshawahiwa labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…