Nina mke mzuri sana, ila hana akili kabisa!

hahaha ukimuacha tu.. Basi ukubali kuita shemeji
cc: Ennie
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hapo umetoa ushauri?Kuna haja ya watu kupimwa uwezo kiakili kabla ya kuruhusiwa kujiunga JF,the place of great thinkers.

Wewe ndo unahitaji kupimwa akili, umetueleza matatizo ya mkeo halafu mwisho ukauliza swali, hujaomba ushauri halafu unataka upewe ushauri juu ya nini hayo ni maamuzi yako kumpa talaka ama la? Kwani kabla hujamuoa ulikuwa hujagundua hana akili???? Halafu siyo ustaarabu kumwambia mkeo hana akili
 
Wivu ni mzuri but sometimes unakera japo si vzr kumwambia hana akili.Jitahidi kumuelewesha,punguza urafiki na wanawake pia muonyeshe kwamba asipende kusikiliza maneno ya watu mana wengine wanasubiri atoke wamcheke vizuri mana atakuwa kafulia.
 
Wivu ni mzuri but sometimes unakera japo si vzr kumwambia hana akili.Jitahidi kumuelewesha,punguza urafiki naaan wanawake pia muonyeshe kwamba asipende kusikiliza maneno ya watu mana wengine wanasubiri atoke wamcheke vizuri mana atakuwa kafulia.
Asante kwa ushaur mkuu
 
Wewe ndo unahitaji kupimwa akili, umetueleza matatizo ya mkeo halafu mwisho ukauliza swali, hujaomba ushauri halafu unataka upewe ushauri juu ya nini hayo ni maamuzi yako kumpa talaka ama la? Kwani kabla hujamuoa ulikuwa hujagundua hana akili???? Halafu siyo ustaarabu kumwambia mkeo hana akili
Wewe una ndoa?Unajua madhara ya kutokumuanin mtu anaejitunza?
 
Asante kwa ushaur mkuu

Akumbuke adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie hasa wakimuona anachange mboga,mavazi labda mtaa wa Congo kila wiki lazma apite kwenye mchezo analipa kwa wakati,hapo lazima waanze fitna na sie tena 95% ni kusifia wenza wetu na km nyie ndo wazungu wa mtaa.Pole sana
 
Unamtangaza mkeo kuwa hana akili kabisa!!
Wewe utakuwa hamnazo zaidi ndio maana ukamuoa.
Ndege wanaofanana!!!!!!
 
Back
Top Bottom