Dejavu JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 1,568 Reaction score 3,428 Oct 19, 2018 #1 Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa. Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa. Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
waOLDmoshi JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 879 Reaction score 1,759 Oct 19, 2018 #2 Ingekua ni pass terminal ungeipata chap sana
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,920 Reaction score 4,216 Oct 19, 2018 #3 Mtafte IGP sirro akutolee faster ni professional [emoji23][emoji23]
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,731 Apr 16, 2019 #4 Ushaipata hiyo passport kama bado njoo PM mkuu... Sent using Jamii Forums mobile app
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,542 Reaction score 138,496 Apr 16, 2019 #5 OS Cordis said: Ushaipata hiyo passport kama bado njoo PM mkuu... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mln 1 huyo atakuwa msonjo [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ova Sent using Jamii Forums mobile app
OS Cordis said: Ushaipata hiyo passport kama bado njoo PM mkuu... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mln 1 huyo atakuwa msonjo [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Dejavu JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 1,568 Reaction score 3,428 Apr 16, 2019 Thread starter #6 Wakuu nshaipata passport kuna jamaa aliniguide nikapata. Thanks for your concern. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nshaipata passport kuna jamaa aliniguide nikapata. Thanks for your concern. Sent using Jamii Forums mobile app
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,691 Reaction score 39,833 Apr 16, 2019 #7 Milioni??
Alkam Alkam JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 603 Reaction score 512 Apr 16, 2019 #8 Milioni hiyo ukitoa ni masaa sio week mbili tena Sent using Jamii Forums mobile app
gijos JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,188 Reaction score 1,849 Apr 16, 2019 #9 Mmh hyo profile photo sasa. Chaputa mkuje huku. Sent using Jamii Forums mobile app
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,841 Reaction score 6,977 Apr 16, 2019 #10 Unataka pasport ngapi.mkuu? mbona hiyo hela nyingi sana.wewe nenda na sh 150,000/-.siku hizi pasport. unaipata ndani ya wiki moja bila zengwe kabisa
Unataka pasport ngapi.mkuu? mbona hiyo hela nyingi sana.wewe nenda na sh 150,000/-.siku hizi pasport. unaipata ndani ya wiki moja bila zengwe kabisa
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,106 Reaction score 357 Apr 16, 2019 #11 Wakuu student permit inatolewa kwa shilingi ngapi?
masara JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,738 Reaction score 2,289 Apr 16, 2019 #12 Nani ajichomeshe kwa takukuru rafiki... Wa sangara
TAECOLTD JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 1,051 Reaction score 1,845 Apr 16, 2019 #13 gijos said: Mmh hyo profile photo sasa. Chaputa mkuje huku. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Chaputa mwenzako nimewasili hahahahahahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
gijos said: Mmh hyo profile photo sasa. Chaputa mkuje huku. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Chaputa mwenzako nimewasili hahahahahahahaha Sent using Jamii Forums mobile app