Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

Hilo limwili...anataka mtoto wa miaka 20 - 25 halafu mwenye mwili mdogo, awe na huruma kidogo
Sasa akioa vizee si ndio ataviua kwa pressure bora damu changa bado ina nguvu
 
Hizo specification kama unafanya chemical processing au titration
 
Wanawake sjui mnakwama wapi wengine mtakimbilia makanisani mkaombewe akati nafasi hyo apo imejitokeza yani unapata vitu viwili kwa wakati mmoja

.mume
.bodyguard

Sjui mnakwama wap
 
Duh mke anachaguliwa kama nyanya 🤣🤣🤣
 
Wewe nikababu hatukutaki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…