Nina miaka 31, je, naweza kusoma QT?

Nina miaka 31, je, naweza kusoma QT?

Umri mkubwa haufikirii kikubwa unasoma QT ili iweje sasa? ata usomeje hiyo QT utaishia kupata daraja la nne ambalo ni "useless"
Ushauri wangu nenda veta pata ujuzi huyo wa QT akimaliza atakufata umpe kazi
 
Mimi ni zao la Massimo hayo Na leo nawaza kwenda chuo
 
Nina miaka 31 Elimu yangu ni ya darasa la 7,

Je naweza kuanza kusoma QT?

Yaani form 1 na 2 kwa mwaka mmoja, kisha form three na four kwa mwaka mmoja?
Unaweza mkuu ..yaan it is never late to be what you want unless you want to become young
 
Umri mkubwa haufikirii kikubwa unasoma QT ili iweje sasa? ata usomeje hiyo QT utaishia kupata daraja la nne ambalo ni "useless"
Ushauri wangu nenda veta pata ujuzi huyo wa QT akimaliza atakufata umpe kazi
Wewe mbona bogus sana... akienda QT na akapata Div 4 si anakuwa na index number ambayo ni kitu chenye thaman sana... hapa akitaka anaweza kwenda veta akapiga technician certificate (NTA LEVEL 1&2) Then akajiendeleza hadi level ya degree na finally akaajiriwa serikalini na makampuni yenye kuaminika(competitive) kuliko hilo darasa la saba hata akienda veta ataishia kusoma short course ambayo zaid ya kujiajiri hakuna ajira ya kudumu na mwanya wa kujiendeleza.
 
Kaka heri ufnye mambo mengine coz utapoteza mda wako for nothing labda kwa kukuxaidia xoma Eng course itakuxaidia hata kujua lugha,kulko kusoma QT
 
Kaka heri ufnye mambo mengine coz utapoteza mda wako for nothing labda kwa kukuxaidia xoma Eng course itakuxaidia hata kujua lugha,kulko kusoma QT
English naijua, pia sisomi kwa ajili nitafute kazi, lengo ni kuongeza cv tu
 
Hongera sana ndg kwa maamuzi mazuri unayotaka kufnya kila kitu kufanikiwa kwanz nia au utayari,pili ni bidii. Kurisiti ni jambo zuri sana especially kwa Maisha tunavyoendelea mbele na ongezeko kubwa la wasomi na hii sera ya Elimu Bure.. Elimu ya chini itakuwa ni kidato cha nne nasi la saba..!! Nakushauri tafuta kituo kizuri lipa ada, Nunua vitabu, jenga urafiki na walimu, penda kuwa muwazi kama mahali hujaelewa, kila siku tenga muda wa kupitia uliyofundshwa siku hiyo Darasani.. na mda wa kupitia mambo mageni, Penda kufnya maswali au majaribio ili kujipima uwezo wako na uelewa wako unapokosea ndp unapoongeza Bidii zaidi... Yaani na uhakika ukikosa Div I, au II labda wakuroge..!!
 
Mkuu katika safari ya kimasomo wengi watakukatisha tamaa na wachache watakupa moyo.Basi chukua mawazo ya pande zote mbili kuwa sehemu ya safari yako kielimu.Ukweli ni kwamba wengi tunaosoma/tuliosoma vyuo vikuu tulipitia hiyo njia na tukafanikiwa.All the best Comrade.
 
Back
Top Bottom