Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,252
- 4,699
Zikiisha rudi hapaSina majibu kwa maana nimelewa chakari......si unajue Leo ni sikukuu?
Infropreneur na KENZY ni wataalamu wa hayo mambo.Zikiisha rudi hapa
Em nisaidie ku tag unbelievers π
Niko na wanangu wa kipemba pamoja na mabinti wabichi wa Kiislamu tunasheherekea sikukuu kwa kula kitimoto Safi kilicho halali mbele ya Allah, then tutaupooza mwili kwa kuunganisha vikojoleo na hao mabinti πSina majibu kwa maana nimelewa chakari......si unajue Leo ni sikukuu?
Sina majibu kwa maana nimelewa chakari......si unajue Leo ni sikukuu?
Niko na wanangu wa kipemba pamoja mabinti wabichi wa Kiislamu tunasheherekea sikukuu kwa kula kitimoto Safi kilicho halali mbele ya Allah, then tutaupooza mwili kwa kuunganisha vikojoleo na hao mabinti π
Ni sawa na mama mmoja wa Kiislamu aliuwa watu zaidi ya 1000 baada ya kutokea dharura na haikuwa dhambiKula kitimoto kama kumetokea dharula kama leo sio dhambi hata.
Endelea tu bro.
Jibu langu lipo kwenye huu uzi.Infropreneur na KENZY ni wataalamu wa hayo mambo.
Walio karibu na wewe inabidi wakunyang'anye simu sasa!Niko na wanangu wa kipemba pamoja na mabinti wabichi wa Kiislamu tunasheherekea sikukuu kwa kula kitimoto Safi kilicho halali mbele ya Allah, then tutaupooza mwili kwa kuunganisha vikojoleo na hao mabinti
Ulivyoandika kama vile unahakika na sheria zote za ulimwengu na kama vile unazijua sana!..πKuna higher consiosness ambayo ni Chanzo cha uhai na uumbaji wote,hakuna kitu kimetokea kwa bahati mbaya aka boom bang theory.
The Real Source(Chanzo Halisi) ni kimoja tu na hana mwanzo wala mwisho ni eternity.
Hawawezi mana simu n mali yangu sio mali yaoWalio karibu na wewe inabidi wakunyang'anye simu sasa!
Moja ya maswali tata yanayoonyesha Dunia na vitu vyake havikutokea bila sababu . Lazima kuna aliyeweka mifumo yote.1. Kwanini ulimwengu unaonekana umetengenezwa mahsusi kwaajili ya kuishi?
2. Iwapo ubongo ni kemikali tu, kwanini unafikiri unapaswa kuiamini akili yako
- Constants za fizikia kama gravity, strong force, proton mass n.k. ziko sahihi mno.
- Kwa nini kila kitu kiko "timing" ya kutosha kutuwezesha kuishi?
- Kama mawazo ni matokeo ya michanganyiko ya kemikali, si unaweza kukosea bila sababu?
- unajuaje fikra zako ni za kuaminika?
3. Uwepo wa sheria unatokana na nini kama hakuna sheria - Muweka?
β’ Kama kuna laws of nature, kuna chanzo chake?
β’ Seria zinawezaje kuwepo bia akili ya kuzitunga?
4. Je sayansi inaweza elezea kila kitu?
-Kuna hisia, maadili, uzuri, namba, mantiki... vitu ambavyo si vya kimwili.
-Je, sayansi inaweza kufafanua vyote?
5. Kwanini binadamu wote wanahisi kuna kiwango cha haki?
- kila mtu hupinga dhula, hata wanyangβanyi.
- Je hisia ya haki na udhalimu inatoka wapi?
6. Kwanini tunashauku ya mambo ya kiroho
- Historia nzima binadamu amekuwa akiabudu au kuamini nguvu ya juu.
- kwanini hamu hii IPO ndani ya binadamu?
7. Kwanini mwanafalsafa mkubwa kama
Einstein, Newton, Galileo aliamini kuwa kuna akili nyuma ya ulimwengu?
-Je, hawa walishindwa kufikiri?
_ Au waliona kitu kingine cha ndani?
8. Kwanini atheist aamini kitu kisichoonekana ( electrons, gravity)
Lakini akatae Mungu kwasababu haonekani?
-Electrons hazionekani kwa macho, tunaziamini kwa madhara yake.
-Mungu pia huaminiwa kwa matokeo yake kwenye maisha
-TOFAUTI IKO WAPI?
9. Bila Mungu, kuna tofauti gani ya ki objective kati ya mema na mabaya?
- kama hakuna standard ya juu, mema na mabaya yanakuwa mawazo tu?
- Je ubakaji, mauaji, udanganyifu ni mabaya au tunadhania ni mabaya tu?
10. Kwanini binadamu wana dhamira
(Conscience)?
- Nini kinakufanya ujisikie vibaya pale ukifanya kosa?
- Evolution pekee inaweza elezea hilo?
11. Je upendo unaweza kuwa kemikali tu?
- Unapompenda mtu, ni sumu ya dopamine tu?
- Hiyo inatosha kuelezea kila kitu?
Nasikia wao hawampendi nguruwe(aliyehai) ila nyama yake wanaipendelea.Niko na wanangu wa kipemba pamoja na mabinti wabichi wa Kiislamu tunasheherekea sikukuu kwa kula kitimoto Safi kilicho halali mbele ya Allah, then tutaupooza mwili kwa kuunganisha vikojoleo na hao mabinti π
Wanaipenda ikiwa imeshapikwa πNasikia wao hawampendi nguruwe(aliyehai) ila nyama yake wanaipendelea.
Kuna ukweli?
.Moja ya maswali tata yanayoonyesha Dunia na vitu vyake havikutokea bila sababu . Lazima kuna aliyeweka mifumo yote.
Mimi huwa naangalia mwili wangu ulivyo tata naelewa kwamba si rahisi kujitokeza tu.
1. Kwanini kuvurugwa kwa pingili moja ya uti wa mgongo iharibu mfumo wangu wote wa kutembea au kusogeza mwili wangu ?
2. Kwanini kwenye goti hakuna mfupa wote unaounganisha upande wa chini na juu lakini ninaweza kusimama wima?
3. Mechanism ya mfumo wa hewa na chakula. Kwanini uko vile? Ni nani alifanya kusiwe na mwingiliano kiasi kwamba chakula au kiminika kikipa kwenye koo la hewa mfumo wa mwili unakitema kwa kupaliwa?
4. Ni nani aliye install thermostatic mechanism kwenye mfumo wa tumbo kiasi kwamba ukinywa kitu cha moto utumbo au tumbo haviungui au kugandishwa na kinywaji cha baridi?
5. Nani aliweka chakula kitengeneze virutubisho mwilini na kisha kitoke kama kinyesi? Au umuhimu wa maji mwilini kisha kuwa mkojo?
Maswali ni mengi ingawa mengine yanajibiwa na science lakini mwishowe lazima tuamini kuwa kuna master mind wa vitu vyote
Wengine waliingia kabisa na chupa za vileo kanisani π.Bora hata wewe.
Kuna wengne asubuhi wameenda kanisan vizur kabisa.
Ila sasahivi wameshalewa.ππππ
Anyway hata Pepon tumeahidiwa mvinjo. Wacha na mm nisogee sasa maeneo ya tukio.
Kichwa kikitulia nitausoma na kuuelewa huu uzi maana naona uko vyema sana.Jibu langu lipo kwenye huu uzi.
Huu mjadala nitahitaji ukae hivi mapema kabisa ili niweze kueleweka kabla sijagusia kitu chochote!.
Maswali mengi tunayojiuliza na hatujapata majibu mpaka sasa juu ya chanzo cha ulimwengu na chanzo chetu!, ni kwasababu kuna kitu ama vitu hatujavijua bado!.
Sina hakika sana kama tutakuja kuvijua ama tusivijue hivyo mijadala ya mabishano juu ya imani za Uungu itaendelea kuwa pambe siku hata siku mpaka pale kanuni kadhaa zitakapokuja kugundulika!.
Nimeamua nianze na hitimisho ili nieleweke kwa wepesi sana!.
Nikianza na nadharia ya uumbaji inakosa majibu maana haionyeshi nani ni wamwisho...
- KENZY
- chanzo ulimwengu
- Replies: 201
- Forum: Jamii Intelligence