Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 662
PAMOJAZote zna matatizo mkuu, ila hao wenzetu Techno wamezidi..na kuna copy za LG na Samsung nazo ni matatizo matupu,cm za miezi 6 tu
Sent from my C1905 using JamiiForums mobile app
Ni SIMU bora sana na zinatumiwa na watu wengi kutokana na kuwa zinapatikana kwa bei nafuuwadau mko poa ?
kama kichwa juu kinavyosema mimi kwa upande wangu namashaka na simu za TECNO kwa sababu weng wanaoomba msaada humu jf,fb & whatsapp ni kuhusiana na simu hz ni mara chache kuona p0st kuhusiana na SAMSUNG,iphone,n0kia nk.
Tecno no Simu inayomilikiwa na wengi hivyo lazima iwe na changamoto nyingiwadau mko poa ?
kama kichwa juu kinavyosema mimi kwa upande wangu namashaka na simu za TECNO kwa sababu weng wanaoomba msaada humu jf,fb & whatsapp ni kuhusiana na simu hz ni mara chache kuona p0st kuhusiana na SAMSUNG,iphone,n0kia nk.
du s4s4 angalia mara whatapp inagoma kuinstall mara imeganda nen0 tecn0 wakati wa kuwasha v2 ya bei rahs vtatumalzaTecno no Simu inayomilikiwa na wengi hivyo lazima iwe na changamoto nyingi
mimi unitoe!Ni SIMU bora sana na zinatumiwa na watu wengi kutokana na kuwa zinapatikana kwa bei nafuu
Hiyo ndiyo sababu
Kivipi mkuu tutajie nasi tujue.Techo ni simu popular & affordable kwa watu wengi sana. Ila hata mm nahic zinazingua kiaina hivi
Taja matatizo mkuu nasi tujue.Zote zna matatizo mkuu, ila hao wenzetu Techno wamezidi..na kuna copy za LG na Samsung nazo ni matatizo matupu,cm za miezi 6 tu
Sent from my C1905 using JamiiForums mobile app
Umesema vema, watu wengi hivyo kwa nadharia tunategemea kutakuwa na changamoto nyingi lakini haimaanishi kwamba siku zote kutakuwa na changamoto. Hivyo ni vema tujue hizo changamoto kwanza ili tuone ziko kwenye kundi gani la mtumiaji, software au hardware?. Ili tuweze kukonkludi kirahisi.Tecno no Simu inayomilikiwa na wengi hivyo lazima iwe na changamoto nyingi
Ok naweza kukubaliana na wewe mkuu lakini matatizo yake ni nini hasa?. Lakini unapojibu kumbuka nami pia hapa natumia old techno L3.karibu.h6 kibao ziko kwa mafundi nyingine hata mwaka bado
Ndugu ningependa tuwe wakweli maana nimekuwa nasoma baadhi ya uzi humu lkn kitu nilichogundua kuna chuki flani hvi inaenezwa juu ya cm za tecno.Ok naweza kukubaliana na wewe mkuu lakini matatizo yake ni nini hasa?. Lakini unapojibu kumbuka nami pia hapa natumia old techno L3.karibu.
Umeongea vema mkuu.Ndugu ningependa tuwe wakweli maana nimekuwa nasoma baadhi ya uzi humu lkn kitu nilichogundua kuna chuki flani hvi inaenezwa juu ya cm za tecno.
Waanzisha uzi kuponda tecno ukiwauliza tatizo nini hawako bayana ila ni chuki au pengine kuna jirani au rafiki yake anamiliki smartphone kama yeye.
Hakuna brands yeyote isiokosa kasoro na makampuni wanajitahidi kuhakikisha hawapotezi wateja.
H6 nilivyoiona ilikuwa na tatizo la ku heatukiwa una cheki movies on line or watching football. Kama kuna kingine basi sawa ila kwa tecno wamejitahidi and I'm expecting more than that.