Nina mapenzi ya dhati; natafuta mchumba

Hahahahaaaaaa et sina chura afu nna mabaka mabaka jamaan!
 
Masharti yako ni magumu zaidi ya hata ya mwanafunzi wa chuo anae omba mkopo !
 
kama uko tayari kua kama kina bi khadija njoo nikuongeze inshallah,serous.
 
Mmh,hapa hapanifai.ila hongera kwa kuwa muwaz,jinsi ulivyo
 

Ok, chunusi co mbya utapelekw timeless, kwenye chura utaenda china ila sas kwny ufupi mpk sahv hakn kifaa cha kurefusha na kwny msambwanda acha utan labd uende kanisan utampata wa kuvumilia
 
Yule wa chuoni imekuweje tena? si mlipanga kuoana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…