Nina mapenzi ya dhati; natafuta mchumba

Nimecheka sana! Hahahhaaa, yaani wewe huna chura ila una chunusi, haya bwana utampata endelea kutafuta
 
Hapo kwenye "Awe anaishi Dar" inaonesha shughuli huiwezi wewe unataka walaini... kwa sisi tunaotokea Nchini Mbeya kwa Presidaa SUGU ndio basi tena.
namaanisha awe karibu yangu.
 
[emoji23] [emoji23] best wishes hakika utampata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…